Paul Makonda: Haitafika Jumapili kabla hatujampata Roma na wenzake wanne

Paul Makonda: Haitafika Jumapili kabla hatujampata Roma na wenzake wanne

Decree Holder

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
2,559
Reaction score
3,747
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ameoneshwa kusikitishwa sana na kupotea kwa msanii Roma Mkatoliki na kuahidi kuwa atahakikisha anampata kabla ya Jumatatu.

Ameongea hayo kwa baadhi ya waandishi wa habari waliomfuata ofisini kwake na kutaka kujua kuhusu msimamo wake juu ya hili swala msikilize hapa chini.

Pia soma: Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara
 
Nimejaribu kuwaza kiutu uzima naona hapa kuna mchongo flani unafanyika niliona post ya meneja wa daimond akimuomba bashite aingilie kati hili swala ndugu zetu wapatikane haikupita mda sana jamaa kaongea eti watarudi kabla ya jpili pia ikumbukwe uyuu jamaa juzi tu hapa alikuwa na huyu meneja ofcini kwao kama aliweza kuchonga ule mchongo wa baba mchungaji ukabuma atashindwa kuchonga mchongo mwingine mhaa mawazo yangu
 
Bashite namchukuli kama Mohamed Bouazizi wa Tunisia.

Role ya kuamsha hisia za mabadilko aliyo-play Bouazizi katika nchi yake na baadae kusamba katika Ulimwengu mzima wa nchi za kiarabu kwa yeye kujilipua kupinga uonevu wa vyombo vya dola na kusababisha hasira za watu wa Taifa hilo, ndio role anayo-play Bashite kwa sasa katika nchi hii kutokana na matendo yake.

Time will tell.
 
sasa naanza kuamini wanaosema kuwa kutekwa kwa kina roma kupo staged sambamba na mkakati wa kumtafutia mtu fulani huruma ya kijamii (public sympathy).

dah!!,jamaa wana mikakati ya kishetani sana aisee.wapo radhi kuumiza watu na kuziacha baadhi ya familia ktk majonzi ili tu wafanikishe agenda zao.
 
Bashite namchukuli kama Mohamed Bouazizi wa Tunisia.

Role ya kuamsha hisia za mabadilko aliyo-play Bouazizi katika nchi yake na baadae kusamba katika Ulimwengu mzima wa nchi za kiarabu kwa yeye kujilipua kupinga uonevu wa vyombo vya dola na kusababisha hasira za watu wa Taifa hilo, ndio role anayo-play Bashite kwa sasa katika nchi hii kutokana na matendo yake.

Time will tell.
Intelligent prediction buddy. This guy who considers himself to be above the law, surely fuels the fury of the dormant tanzanians
 
ukiitazama kwa jicho la tatu na kwa umakini body language ya daudi bashite ktk hiyo video,unaona kabisa kwamba jamaa anafahamu A to Z kinachoendelea kuhusu kutoweka kwa roma na wenzie.

amejitahidi sana kuji - control ili kuficha alama za kimwili za mtu anayehusika na tukio fulani baya,lakini wajuvi tumegundua.shenzytype.

sikiliza tone yake,tizama anavopepesa macho.tizama anavoinamisha kichwa na kukinyanyua.
 
Back
Top Bottom