Paul Makonda amewaburuza tena CHADEMA?

Paul Makonda amewaburuza tena CHADEMA?

Kiturilo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2021
Posts
706
Reaction score
2,859
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.

Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.

Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.

Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.

Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.

Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.
Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.

Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).

Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.
 
Kwa pumba hizi,utakuja hapa kusema una elimu ya form four.
 
Tuletee video ya Mbowe kushangilia kifo cha JPM, kuhusu Lissu kila mmoja anafahamu alichokutana nacho hatuwezi kumzuia
 
Wa chadema wanazungusha malinda tu, kwani wanajua nini zaidi ya kuelekea upepo unakoenda.
Mama anaupiga mwingi mapaka milangoni mwao sasa wanachungukia kupiatia madilishani..
Hao watu wa ufipa hawajielewi mpaka wanakera.
 
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.
Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.
Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.
Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.
Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.
Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.
Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).

Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.
Unajidanganya bure! Kwa Dhuluma alizofanya makonda lazima malipo yake ayapate hapahapa duniani. Na amekwisha anza kupata hayo malipo kwa kukosa nafasi yoyote ya uongozi mpaka sasa.

Kwamba Chadema walishangilia kifo cha Magufuli kuwa sasa watakuwa huru. Pamoja na Magufuli kutokuwepo,wanazi wake wapo,wanaendeleza vitendo vyake vya kubambikia watu makesi.

Believe me,kesi ya mbowe siyo initiative ya raisi samia,ni imesukwa na wanazi wa Hayati Magufuli.

Hata ukimpamba,kwa viwango vyovyote,Makonda ni mtu dhalimu.
 
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.
Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.
Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.
Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.
Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.
Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.
Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).

Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.
New member!

Makonda mwenyewe ulingoni.

Kwa uovu uliofanya karma itakumaliza.
 
Vipi nae makonda kala za uso kutoka kwa Gwaji boy? Walitukanana weee baadae wote wakataka ubunge matokeo gwaji katoboa konda kala za uso
 
Umejiunga Jana hapa jukwaani ili uwe unaongea huu utoto?!
kiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shitakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nimesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.
Baada ya rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia chadema wakiongozwa na Mbowe ,Lisu na Kigogo walishangilia sana hadharani bila kuona aibu kabisa.
Walisema sasa watakuwa huru na watatajirika na kula raha sana hapa Tanzania.
Leo Magufuli hayupo lakini Mbowe yuko jela kwa siku 35 sasa.
Leo Magufuli hayupo lakini mbowe tayari ameshapoteza ndugu zake kadhaa kwa ugonjwa Corona.
Leo Magufuli hayupo lakini chadema imeendelea kupoteza mvuto kwa wananchi, kila wanapoitisha maandamano hamna anayetokea.
Leo Magufuli hayupo lakini sasa Chadema na Kigogo hawaelewani tena. Kwa mjibu wa kigogo chadema ya sasa ni intarahamwe( kikundi cha magaidi na wauaji wakubwa).

Laana itawatafuna hapahapa duniani Chadema.
 
IMG_20210527_183902.jpg
 
Back
Top Bottom