Paul Makonda afunguka

Hata hivyo nguvu ya Lowasa upepo ukipita mkali sana unaweza kwenda naye hana nguvu yoyote labda hiyo ya kugawa pesa lakini kiafya ni ziro kabisa

hujui ulisemalo na hujafa hujaumbika kumbuka inawezekana wewe ndio mgonjwa zaidi ya lowasa
 
But kumkosea adabu mzee warioba!mmmhnn!kwanza akumbuke huyu alikuwa makamu wa Raisi na waziri mkuu!kama aliweza hili na bado akapewa u DC? Kwani siku hizi hamna VERTING?nauliza tu!na hayo ni mawazo yangu tu...
 
Ngoja tuone mwisho wa sinema hii. Nakumbuka mtoto wa rtd brg gen Nnauye( R.I.P) na mzee Mukama walishindwa kumvua ngozi. Labda huyu ni chipukizi ataweza kama anavyojinasibu!
 

Chini ya utawala wa CCM, kila mtu, hata zezeta wa kiwango chochote anaweza kupewa cheo cha DC au RC. Haishangazi. Kwani wana kazi gani hasa?

Hii ndiyo principle ya sandakarawe. Kwa wale wanaokumbuka michezo ya utotoni.

tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa misingi ya kiZEZETA (kiCCM).
 
awe makini asilete matusi ya hovyo hovyo. Kinondoni ni wilaya yenye wamiliki bunduki kuliko wilaya zote za Dar na mikoani
 
lakini unaamini anae fungwa kamba ni Riz 1 ila mfungaji ndio hutaki kuamini kuwa ni makonda?

Riz1 sura yake inaonekana vizuri ila huyo mwingine haionekani vizuri,nani aliyemtambua kwamba huyo ni makonda? kwanini isiwe mpambe wa riz1?
 
Riz1 sura yake inaonekana vizuri ila huyo mwingine haionekani vizuri,nani aliyemtambua kwamba huyo ni makonda? kwanini isiwe mpambe wa riz1?

Kama sura huioni vizuri unatumia kigezo gani kupinga kwamba sio yeye? ccm bhana!!
 
nchi hii raha sana ukitenda maovu unazawadiwa ukuu wa wilaya,BRAVO PAUL MAKONDA
 
Naoana wanafanana na MKULU au ni DAMU ile ile................hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Tazama jinsi makonda alivyotokea hadi kuupata udc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…