Paul Makonda afika kwenye ubalozi wa falme za kiarabu

Hao sukuma gang kama huwalishi na manisha yanaenda hakuna tatizo! Endelea kuongelea upuuzi wenazko wanatengeneza maisha!
Washatupwa nje ya sahani ya ulaji. Mmepigwa na kitu kizito kichwani. Kila mnayejaribu kumtanguliza analiwa kichwa. Leteni mwingine tena.
 
Waandishi nao wawe wanajifunza hata kutamka Basi majina ya watu
Alinayani ndio nini sasa
Hilo jina Al Nahayan lina miaka kibao ina maana kashindwa hata kulitamka

Turudi kwenye mada kaenda kama rafiki au old mpambe
 
Back
Top Bottom