Inawezekana kirahisi hivyo? As a government ni muhimu kuwa makini, kwani madai dhidi yake yanaweza yakawa ghali sana! Inakuwaje, kwa nini isiwe aliyetoa zabuni kutangaza mgogoro, na mamlaka kama PPRA ndio wazuiwe wasifikiriwe kwa zabuni zingine. Utawala wa kisheria unatukimbia haraka mno!!!Habari wanaJF,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam meshimiwa Poul Makonda leo amechukua hatua ya kuzisimamisha na kusitisha Kampuni ya Inshinomya Co. LTD na kuyasimamisha Makampuni mengine ya kujenga barabara ya Germinex construction LTD, Del Monte (T) Ltd na Skol Building Contraction katika Mkoa wa Dar es salaam
Hii ni kutokana na kujenga barabara chini ya kiwango na kuagiza makampuni haya kutopewa tenda yeyote kwenye Mkoa wa Dar es salaam mpaka Mkuu wa Mkoa atakapojirizisha na utendaji wa kazi kwa Makampuni hayo.
yeye ni mtaalamu wa ujenzi wa barabara? wamepewa nafasi ya kujitetea. Mtalipa fidia mpaka mtafilisika. wafyrahishe wanaowahusudu!Inawezekana kirahisi hivyo? As a government ni muhimu kuwa makini, kwani madai dhidi yake yanaweza yakawa ghali sana! Inakuwaje, kwa nini isiwe aliyetoa zabuni kutangaza mgogoro, na mamlaka kama PPRA ndio wazuiwe wasifikiriwe kwa zabuni zingine. Utawala wa kisheria unatukimbia haraka mno!!!
Hii ni ya kigogo gani nchi hii?Na Skol Building naye yupo? Huo ni mfupa hatauweza
Hivi wakuu wa mikoa nao ni waheshimiwa? Nijuavyo mimi mheshimiwa ni yule anayechaguliwa na wananchi na siyo anayeteuliwa.Habari wanaJF,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mshimiwa Paul Makonda leo amechukua hatua ya kuzisimamisha na kusitisha Kampuni ya Inshinomya Co. LTD na kuyasimamisha Makampuni mengine ya kujenga barabara ya Germinex construction LTD, Del Monte (T) Ltd na Skol Building Contraction katika Mkoa wa Dar es salaam
Hii ni kutokana na kujenga barabara chini ya kiwango na kuagiza makampuni haya kutopewa tenda yeyote kwenye Mkoa wa Dar es salaam mpaka Mkuu wa Mkoa atakapojirizisha na utendaji wa kazi kwa Makampuni hayo.
Habari wanaJF,