Paul Kagame umeongea ukweli hataki unafiki!

DRC nayo ina bahari
Kiongozi bora ni yule anayeweza ku-utilize resources alizonazo na sio yule anayeshindwa kufanya hiki au kile kwa kisingizio kwamba nchi haina natural resources! Ni sawa mtoto kilaza wa masikini anayesingiziwa kutofika chuo kikuu kwa sababu baba ake sio Bakhresa!
 

Natamani nikujibu ila i am quite sure hata wewe mwenyewe ukisoma ulichokiandika kamwe hautajielewa, unataka kuzungumzia nini?! Yaani pointi yako haswa ni nini?
 
Kuwa muelewa, au hadi utafuniwe kama mtoto ndio umeze?

Ndio nitafunie nimeze!! I never stop asking question because its from them that i get pure knowledge!! Wewe ulitaka nijifanye kuelewa hata kama sijaelewa?
 

2kimo very hopeless mshkaji wangu, hebu ona hata aibu kijana
 
Last edited by a moderator:
Iko hivi chige, majina yote ya walioomba yanatakiwa yaingizwe Kamati Kuu na watu wahojiwe, hilo halikufanyika na ugomvi wao ndipo ulipoanzia baada ya kusema kamati ya maadili imewakata na kubakisha watano ili wapate baraka za kupelekwa Halmashauri kuu. Hivyo majina yaliyopelekwa Halmashauri kuu ni Membe,January, Magufuli,Migiro na Amina.
Hapo ndio yanatoka matatu kwenda mkutano mkuu, na yakatoka ya Magufuli,Migiro na Amina.
 
Last edited by a moderator:
Hapana Chakaza, usisikilize propaganda za akina Kingunge ingawaje kwako ni muhimu kwa kuwa ni UKAWA! Katiba ya CCM inasema Kamati Kuu itapokea majina yasiyopungua matano kutoka Kamati ya Maadili na Usalama! Wakati nakupa hilo dokezo, ngoja nikutafutie screenshot ya Katiba ya CCM!
 
Kazi za kutumwa zinatufanya tusiwe na uwezo kukamilisha tunachosema! Anyway, nimeipitia tena katiba ya CCM. Kwa kifupi, kuna mkanganyo kidogo ambao bila shaka unatokana na nguvu iliyonayo Kamati ya Maadili na Usalama ambayo haijataja kazi zake kwenye katiba zaidi ya kutaja uwepo wake kwenye Ibara ya 107 (23).

Katika pekua pekua, nikakuta kumbe, according to Mwananchi, kazi za Kamati ya Maadili na Usalama zimetajwa kwenye Kanuni za Uongozi na Maadili, toleo la 2012 kifungu cha 4(ii). Unfortunately, sijui hizi kanuni zinapatikana wapi tena nakumbuka siku za nyuma nilizitafuta sana lakini sikuzipata! Lakini Mwananchi wanaojua ni wapi wamezipata hizo kanuni wanasema: On the other hand, wakati kazi za Kamati ya Maadili hazijaoneshwa kwenye katiba zaidi ya kuwepo kwenye kanuni, moja ya kazi za Kamati Kuu kwenye hili suala zinaishia tu kusema: 109 (6)Unapofika wakati wa Uchaguzi Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa itashughulikia mambo yafuatayo:-
(b) Kufikiria na kutoa mapendekezo yake kwa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa juu majina ya Wanachama wasiozidi watano wanaoomba kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hivyo basi, kwa maoni yangu nadhani mkakati wa kumkata Lowassa ulianza mwaka 2012 lakini wafuasi wake wakachelewa kuliona! Walichelewa kuliona kwa sababu, wakati wao walikuwa na imani kwamba EL ana timu yake kwenye Kamati Kuu, katiba yao wenyewe haijasema popote kwamba itajadili majina ya wagombea WOTE bali itapendekeza majina yasiyozidi matano!

Wakati katiba haijasema popote kwamba Kamati Kuu itajadili majina yote ya wagombea, kanuni zinasema majina ya wagombea yataanza kwanza kujadiliwa na Kamati ya Maadili na Usalama na kutoka hapo; wapo ambao hawatapendekezwa na hawatakata rufaa popote lakini pia wapo ambao hawatapendekezwa na kupewa haki ya kukata rufaa!! Haki ya kukata au kutokata rufaa itategemea na "makosa" watakayokukuta nao Kamati ya Maadili!!! Sasa endapo Timu Lowassa (CCM) wangekuwa makini, since 2012 wangegundua kwamba kuna watu wameandaliwa kupelekwa Qibla na wakishapelekwa; hakuna kukata rufaa!!!
 
Kuwa muelewa, au hadi utafuniwe kama mtoto ndio umeze?

Ndio nitafunie nimeze!! I never stop asking question because its from them that i get pure knowledge!! Wewe ulitaka nijifanye kuelewa hata kama sijaelewa?

Kama unajua huna meno ya kutafuta kwanini uwe jeuri?
 

Well said Mr. President
 
anaizungumzia Tanzania et kwa vile Kikwete ni chairman anamwacha kumzungumzia Museven anavyong'ang'ania madaraka miaka 30 sasa.
 
Naomba nisaidie hizo information ambazo nina uhaba nazo bro.
 

Kuna jambo moja tu dogo ccm inatakiwa wafanye. km wanataka kumuaibisha kagame wakubali ufanyike uchaguzi wa kidemokrasia.
ACHA POROJO ZSIZO NA MAANA YOYOTE!
WATZ WANATAKA MABADIRIKO KUANZIA KESHO
 
Akili za bavicha hizi, hamia rwanda basi ...

ccm mnakazi ndogo tu. Ili kumuaibisha KAGAME kubalini ufanyike uchaguzi wa kidemokrasia.
WTZ WANATAKA MABADIRIKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…