May be I should make it clear to you that Tanzanians, though quite, polite and peaceful, are war monglers. It shouldn't therefore, come to surprise that we spend a significant chunk of our precisious time to discuss about war with Kagame. We always wish someone could provoke us to fight. Sadly Kagame is only going half way towards our trap. We love to fight where there is reason for that. The presence of our soldiers in different parts of the world is point in case.
. Hawa watu Walikua wanamheshimu nyerere tu.
Siyo tu kwamba Rwanda feels unsafe with FDLR and other extremist Hutu, but the current regime in Kigali feels unsafe with everyone who does not speak the same language with it. It includes even the Tusi colleagues who established the regime.The war in Eastern Congo is about many complex reasons on top which are the following;
1. Security - Rwanda feels unsafe with FDLR and other extremist Hutu murderous groups lurking in its backyard
2. Economy - Rwanda and Uganda have vested interests in eastern DRC and so does Pres Kabila and his cronies from Kinshasa
So do fall for this ba-Hima empire myth that swirls around like a wayward kite. Hakuna makitu hiyo.
For the past few months or so, Kagame has been on front pages of Tanzanian minds and thoughts. If the time you use everyday discussing Kagame was spent productively I believe that your GDP would have increased a percentage point. Just thinking out loud.
Na huyu mkuu wa rwandese patriotic front rwigyema,aliyeuwawa siku chache tangia rpf iingie rwanda,alikufa kifo cha ajali ya kivita,ama aliuwawa kwa conspiracy?habyarimana na rais wa burundi waliuwawa na kina nani?je major general kagame alikuwa na wadhifa gani kule uganda kwenye serikali ya yoweri kaguta museveni?mpiganaji dr john garang alipouwawa kwa ajali ya helikopta(mheshimiwa mbowe naomba chukua tahadhari zote,na ile chopper-miguulu si mtu) alitokea uganda kuzungumza na yoweri kaguta museveni-my guess? Kuna kitu walitofautiana na ndiyo maana hakufika kwa mkewe kupeleka matooke ya uganda!swali la kizushi:kwa nini kila gaidi dhidi ya system za makaburu,waingereza,idd amin, aliwahi kufika ama kusoma ama kupata mafunzo ya medani ardhi ya tanzania?mimi nimekosa mchango ila nina nmaswali hadi nyongo inatibuka!
kaka jf achana nayo kabisa kuna vichawa hatari humu na vinatokea kwa msimu tuu,mojawapo ni huyo mkuu Moshe Dayan.ukiona thread yeyote inayojadili taarifa za kijeshi/ujasusi na ukakuta post ya huyo mkuu basi ujue that info is 100% genuine...na kuna kichwa kingine kinaitwa Jason bourne,kinaonekana kwa msimu tuu.siku ukiona thread/post yake basi ujuwe kaja na madini mazito toka TISS.viva jf kwa kutuweka karibu na watu hawa.Humu ndani kuna watu, mi nilkuwa sijui kitu mkuu asante kwa taarifa hii nzuri
. Hawa watu Walikua wanamheshimu nyerere tu.
Sijawahi kusikia Kikwete or Kagame kuzungumzia vita btn these 2 states lakini ukiingia Jf utafikiri kuna makombora yanasubiri amri kuanza kazi...hamna kazi nyie!!
baba yenu anawahadaa na kuwatumikisha pasipo kujua...tutawasaidia mjue kuwa mnatumikishwa...tabia yake tunataka ikome na ITAKOMA...angekuwa anachofanya ni halali ndani na nje ya rwanda sasa hivi asingekuwa anakimbia kimbia na kuhama hama hasa nyakati za usiku na halali sehemu moja...
au na wewe murutongore tukudunge ''truth serum'' kama mmoja wenu aliyekuwa anatumiwa na baba yenu na akamwaga kila kitu hali iliyopelekea baba yenu anaishi kama digi digi hasa nyakati za usiku mpaka sasa?
mhh, mkuu Kumbe PK TISS mnamjua vzr sana.
OMURUTONGORE mpelekee ujumbe PK kuwa yupo uchi.
Hatupend vita ya kipuuz ila kagame akituchokoza bas atakuta vijana wa TISS anapoenda kulala leo.
duh bongo darisalama, inaonesha na ww ni jasusi ulikuwa nao nashukuru kwa kunihabarisha
jokaKuu,
As long as FDLR wataendelea kuwa na free hand eastern Congo itawawia vigumu kurekebisha makosa ya Mkapa na Mandela. Hivi kwa nini Zimbabwe haijachangamkia tenda hii this time? Nasikia ile vita ndiyo ilisaidia kudidimiza uchumi wake haraka. We are playing with fire.
Dah! Kwetunikwetu hii kauli ina maana pana sana
Dah! Kwetunikwetu hii kauli ina maana pana sana