Paul Kagame: Tanzania's own spy


jokaKuu,
As long as FDLR wataendelea kuwa na free hand eastern Congo itawawia vigumu kurekebisha makosa ya Mkapa na Mandela. Hivi kwa nini Zimbabwe haijachangamkia tenda hii this time? Nasikia ile vita ndiyo ilisaidia kudidimiza uchumi wake haraka. We are playing with fire.
 
de'levis, long time no see.., turudi kwenye mada, ntakuja na topic jinsi rwegyima alivyouawa na jinsi siku alipoenda front ilikuaje rpg zote za unit yake zili-miss fire, ndipo utajua kagame tulimuivisha kwenye espionage

Nilichokoza kwenye uzi wangu mmoja nikawa navuta pumzi lakini naona umekuja full mass nondo! Ussiishie kwa Fred Rwegimya songa mbele kwenye mauaji ya marrais wawili (baada ya the Arusha accord) kisha umuangalie alivyomtumia Bizimungu, alivyomtumia Mzee Kabila (akiwatumia akina Bizima na Kabarebe), halafu alivyomkosakosa Kayumba na mengine mengi. Tutachangia pale patakapohitajika.
 
Unakosa point, mbona huilaumu Tanzania kwa kumsaidia Museveni na Waganda kwa ujumla.

Ukianza kufikiria hivyo unavyosema basi itabidi uilamu Tanzania kwa mambo mengi.
Akina Mbeki, Chisano, Machele, Neto, Nujoma, Mgabe, Nkomo, Sisulu hata Odinga wote wamekulia Tanzania.
Je, tukihitilafiana kimitazamo na nchi zao hiyo ina maana tulifanya makosa kuwahifadhi tena zaidi kuliko PK

Tena utaenda mbali sana na kulaumu hadi UDSM kwasababu akina Garang, Museveni ni Alumni.
Sasa sijui utasema nini kuhusu hilo.

Nia ilikuwa njema tatizo ni jeuri, kiburi na chuki ambazo mtu huwezi kuziona hata microscope.
 
Somehow and somewhere something went wrong and possibly we did a mistake that we cant accept today!!!!!!

The creation of our own is claimed to have a bad colour???!!!!
 
comrade, you are right, hizi sio zama za kupigana mavita ya kipuuzi, hata mrwanda mwenyewe hawezi ku-sustain vita economically for more than a year
 
.......tulishawapa ujumbe kuwa......at any cost.....ya kulinda utu wetu na Taifa letu..."HATUTAWAPUUZA"........

Ogah, exactly maneno mazito hayo. PK hajui nguvu ya utu wa mtanzania, hajui Utu wetu ni Utukufu na Mamlaka. UTU WA MTANZANIA ULIO UTUKUFU NA NGUVU ...unawasumbua sana majirani zetu, hawajui siri hii na UTU KAMWE HAUTAKUWEPO KIGALI. UTU NI UTANZANIA, sio ukenya, wala uuganda na kamwe hauwezi kuwa Unyarwanda.

Na UTU ulio UTANZANIA na UTUKUFU ukifoka Mbingu, Milima, Mito na Bahari zitarindima ..KIGALI ITAYEYUKA KAMA KIPANDE CHA SIAGI
KWENYE KIKAANGIO CHENYE MOTO MKALI.
 
Last edited by a moderator:

If not being a crazy? You are a tutsi.
 

Mkuu wewe ni noma unatisha ila umenifanya nilale usingizi kwa amani ukizingatia naishi mpakani karibu na Rwanda hiyo comment yako inaonyesha kuna watu wanamshughulikia slim boy kimya kimya
 
Na huyu mkuu wa rwandese patriotic front rwigyema,aliyeuwawa siku chache tangia rpf iingie rwanda,alikufa kifo cha ajali ya kivita,ama aliuwawa kwa conspiracy?habyarimana na rais wa burundi waliuwawa na kina nani?je major general kagame alikuwa na wadhifa gani kule uganda kwenye serikali ya yoweri kaguta museveni?mpiganaji dr john garang alipouwawa kwa ajali ya helikopta(mheshimiwa mbowe naomba chukua tahadhari zote,na ile chopper-miguulu si mtu) alitokea uganda kuzungumza na yoweri kaguta museveni-my guess? Kuna kitu walitofautiana na ndiyo maana hakufika kwa mkewe kupeleka matooke ya uganda!swali la kizushi:kwa nini kila gaidi dhidi ya system za makaburu,waingereza,idd amin, aliwahi kufika ama kusoma ama kupata mafunzo ya medani ardhi ya tanzania?mimi nimekosa mchango ila nina nmaswali hadi nyongo inatibuka!
 
Dhu!!

Mbona tunashindwa kutengeneza akina Kagame wetyu wenyewe?? AU CCM wanawazidi akili??

Tungekuwa mbali sana!!
 
kagame's era are numbered tutsi of jf send this message to pk
 
kwa mikwara tu wabongo hatujambo, hivi kama majasusi wetu ndio mahodari wa ku-train maraisi wengine na kuwapa mbinu iweje ndani kwetu tunashindwa kutoa viongozi imara au ina maana majasusi wa CCM ni wakali zaidi kwenye kulinda ngome yao.

Hainipi kuona hali ya siasa za ndani na ugawaji wa mali hovyo unaoendelea kutoka kwa viongozi wa waliopo na bado wengine wanataka nafasi za uraisi, halafu eti tuna majasusi waliobobea ambao wapo tayari kufa kwa ajili ya usalama wa taifa, si wangeangaika na kuwaweka watu wenye huwezo madarakani kuliko serikali ambayo imejaa akina Sofia Simba.
 
Dhu!!

Mbona tunashindwa kutengeneza akina Kagame wetyu wenyewe?? AU CCM wanawazidi akili??

Tungekuwa mbali sana!!

tungewapata watano, leo hii mafisadi wote wangekuwa chali. Democracy inaminywa mpaka huwa namuhurumia Dr. Slaa na Mbowe. Anyway if 2015 ikishindikana, watu watafikiri visivyofikirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…