Paul Kagame: Tanzania's own spy

Paul Kagame: Tanzania's own spy

Moshe Dayan

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2008
Posts
815
Reaction score
710
binaisa.jpg
ny.png
pk6.jpg
tinyefuza.png
pk.png


Tanzania trained him to be a world class spy, why is he turning against his mentor!? If there are misunderstandings, why cant diplomacy take the first course??

It was 1978 in a secret espionage farm(somewhere in Morogoro), Paul Kagame was recruited, trained and eventually served as our informer and a spy in different top secret missions. Why is this killing machine malfunctioning now!?

Baada ya kumaliza mafunzo, hata Marekani ilimtambua kwa uwezo wake wa infiltration na counter espionage skills, kiasi kwamba ilimpa nafasi asome command and general staff college huko Kansas. PK Akiwa na Yoweri Museveni, Obote, Okello, Oyite Ojock, Yusuf Lule, Fred Rwigyema na majasusi waliokubuhu wa Tanzania, walikutana kwa siri Kilimanjaro, mwaka 1979,in a secret meeting called THE MOSHI CONFERENCE na kuunda "KIKOSI MAALUM" kilichotangulia na baadhi ya majasusi ndani ya Uganda kuendeleza insurgency covert operations wakati majeshi ya TPDF yakisonga mbele.

Hii timu ilikua pia na David Sejusa Tinyefunza, jasusi kuu la Uganda(SPY CHIEF) aliyepishana kauli na M7 na kuamua kukimbilia UK. Tanzania made them what and who they are now, powerful and intimidating. Timu hiyo ilifunzwa unprecedented guerrilla tactics kama tulizowafunza wenzetu wa kusini mwa Afrika na ndio maana PK akiwa bega kwa bega majasusi wenzetu na Fred Rwigyema ambaye aliuwawa kwenye battle waliweza kuingia hadi Kigali kwa kupitia Uganda Virunga Mountains baada ya kutumikia UPDF kama security chief wa M7.

A "cold war" highly fueled by media should be stopped and let the old memories flourish. If we had same belief or ideology, why should we differ now..???
 
Tatizo la Kagame ni kutamani vitu vilivyo nje ya mipaka ya nchi yake.

Wakati Tanzania inatumia resources zake tangu uhuru mpaka sasa kuhakikisha nchi jirani zinakuwa salama, Kagame anatumia njia zozote zile kuchafua hali hiyo. Kagame CAN NOT be afriend kama ataendelea kuchafua hali ya amani.

Watu zaidi ya milioni 2 wamehama makazi yao kwa sababu ya kile anachofanya Kagame. Mtu kama huyo hawezi kuwa rafiki.

Watoto wanakosa fursa ya elimu, wengine wanakufa kwa magonjwa yanayotibika kama kuharisha na utapiamlo kwa sababu ya Kagame. Mtu kama huyo hawezi kuwa rafiki. Kumfanya Kagame rafiki ni kutukana UTU wetu...
 
I support you. I always believe the main cause of Congo's uneasiness and killings is my country Tanzania. Kagame na Museveni wamewekwa na serikali ya CCM. Tunacheza ngoma za wakuu wa magharibi. Pia uhusika wetu mwingine ni kupeleka silaha Congo kupitia Mwanza airport (Hubert Sauper's 2004 Darwin nightmare). Watu mmetuita wakimbizi kwa kutojua kwenu na uzalendo wa kijinga
 
Timu hiyo ilifunzwa unprecedented guerrilla tactics kama tulizowafunza wenzetu wa kusini mwa Afrika na ndio maana PK akiwa bega kwa bega majasusi wenzetu na Fred Rwigyema ambaye aliuwawa kwenye battle waliweza kuingia hadi Kigali kwa kupitia Uganda Virunga Mountains baada ya kutumikia UPDF kama security chief wa M7.A "cold war" highly fueled by media should be stopped and let the old memories flourish.If we had same belief or ideology, why should we differ now..???
siwezi kuyaamini haya maelezo moja kwa moja kulingana na unyeti wake, kama ni kweli basi unaiongelea Tanzania ya akina Mzee Salim H. Salim, Mzee Hashim Mbita, Mayunga .....(endeleza idadi ni kubwa) lakini ukitaja sasa idadi hiyo inapungua sana hadi kupelekea waliotuamini na kutuheshimu kama nchi kuacha kufanya hivyo!

 
Kagame ni mtu clever sana..namkubali kwa hilo tu. Anyway mlitegemea aishi vipi wakati ana nchi ndogo,ardhi ndogo watu wengi,hana hata madini, zaidi ya chai na kahawa..nae ndio akaona shamba la bibi(drc) akaweka mipango ya wizi wa akili ndio maana kaisogeza kigali kimaendeleo.
 
Kumbe ni vita ya Osama na Marekani. Mbinu zilizotumika kwa osama zinafaa sana kupambana naye. Tuachane na bataliani turudi kwenye special task force.
 
I support you. I always believe the main cause of Congo's uneasiness and killings is my country Tanzania. Kagame na Museveni wamewekwa na serikali ya CCM. Tunacheza ngoma za wakuu wa magharibi. Pia uhusika wetu mwingine ni kupeleka silaha Congo kupitia Mwanza airport (Hubert Sauper's 2004 Darwin nightmare). Watu mmetuita wakimbizi kwa kutojua kwenu na uzalendo wa kijinga

mkuu cjakuelewa hapa
 
Back
Top Bottom