Paul Kagame ni nani EAC? Hii jeuri ya kujiamini hivi anaitoa wapi?

Propaganda za mtaani ila uhalisia ni PK anaiheshimu sana TZ na hawezi fanya lolote. Pamoja na propaganda Tulipeleka majeshi na kufanya wajibu wetu huko Congo.
MONUSCO ilijumuisha mataifa matatu, Tanzania, South Africa na Malawi. Hii ndo ilimuondoa M23 miaka ile. Hii Brigade iliongozwa na Brigedia Mwakibolwa, m23 wakaondoka ktk ule mlima wa Goma ambao waliweka ngome yao kuu. M23 kipindi kile walikuwa kama 600 hivi, huku MONUSCO ikiwa na askari wasipungua 2,500.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Preach. Kuna mitanganyika humu mizwazwa sana yenyewe inasifia hata vitu vya kipumbavu kabisa esp when it comes to Kenya na Rwanda. Mitanganyika inaona Kigali/Nairobi zimeendelea kuliko London.
Wengi hao ni wahamiaji tu, hawana Utaifa wowote, Huwezi uka I downgrade Nchi Yako Kiasi hicho. Tanzania tuko mbali sana Kijeshi, hakuna hata Nchi Moja hapa EAC inayoweza hata kwa kufikiria tu kuivamia TZ.
 
Thanks,Mimi nafuatilia Sana Mambo ya Taifa langu ndugu,ikiwa ntakosea kuongea lolote,basi ntakuwa nimepotiahwa na source ambayo sio reliable. Kagame ni mtu fedhuli Sana,naomba pia uangalie hapo Chini kauli ambazo alizitoa akihutubia hafla iliyoandaliwa na mke wake kwa vijana wa Rwanda. Hii kauli haina tofauti na hii aliyotoa kwa DRC juzi.

Kauli za KIHUNI za Rais Paul Kagame dhidi ya Rais wetu Kikwete na nchi yetu kwa ujumla.​


PRESIDENT PAUL KAGAME OF RWANDA.
Rais Kikwete ameepuka malumbano na Kagame kwa kukaa kimya , lakini inaelekea Kagame anadhani ukimya wa Kikwete ni uoga kwake au labda anatafsiri kuwa anadharauliwa.....

Nadhani huu ni wakati mwafaka kwetu sisi watanzania kuungana na kumuunga mkono rais wetu juu ya huu UPUMBAVU wa Kagame....

Kagame ni lazima atambue kwamba watanzania tupo tayari kuilinda nchi yetu kwa gharama yoyote na kamwe hatuwezi kuwa VIBARKA wa Rwanda...

Ifuatayo ni Kauli ya Kihuni aliyoitoa Rais Kagame Kwa Taifa letu:
-------------------------------------------------------------

.....“Those people [Tanzanian President Jakaya Kikwete] you just heard siding with Interahamwe and FDLR and urging negotiations… negotiations?

Me, I do not even discuss this topic, because I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place and I will hit you! He[Tanzanian President Jakaya Kikwete] did not deserve my answer.


I did not waste my time answering him…It is well known. There is a line you cannot cross, there is a line, a line that you should never cross. It is impossible…”“

It is in these ominous terms that the Rwandan dictator General Paul Kagame threatened to get even with Tanzanian President Jakaya Kikwete, while addressing Rwandan Youth on June 30, 2013 during a summit called “Youth Konnect”“, sponsored by his wife, Janet Kagame.


Relations between Tanzanian President Jakaya Kikwete and Rwandan leaders have soured in the last weeks. On several occasions Rwandan leaders called the Tanzanian President “a genocide and terrorist sympathizer”, “ignorant”, “arrogant”, and “mediocre leader”.

The relations have deteriorated following the recommendation by President Jakaya Kikwete of open negotiations between Rwandan, Ugandan and Congolese leaders and their respective armed opposition in order to bring durable peace and security in the African Great Lakes region....
Kama ulikuwepo JF miaka ile, ukitazama ule uzi ambao ulijadili hii ishu, wengi walijitokeza kukubaliana na Kagame na kusema JK nchi imemshinda kwa ufisadi na wizi na kusafiri kila wiki, kwanini asifatilie ya nchini kwake aende afatilie ya wengine. Miaka ya utawala wa JK humu JF hakuna ambae alikuwa anamuunga mkono Jk isipokuwa watu kama 7 hivi ambao nahisi walikuwa kwenye payroll ya ccm. Kama ulikuwepo JF miaka hiyo utakumbuka vizuri haya nisemayo.
 
Kuna siku nilimwuliza mwanajeshi mmoja hivi aliyetoka kulinda usalama Kongo kwa mujibu wa UN
Swl: Hivi ni kweli mnaenda kulinda usalama , in maana UN imeshindwa kudhibiti kweli ?
Jibu : Ndugu yangu kuna siri kubwa , kiuhalisia Kule tunaenda kulinda Mali za wakubwa .
Mantiki yangu ni kwamba kuhusu Kongo hata Paul kagame ni sisimizi tu .
Alisema ukweli mtupu.
 
Huyu Kagame kwa nini anajihami kiasi hiki, kana kwamba hakuna wa kumfanya kitu.
1.Kujihamini sio kiswahili. Kiswahili ni kujiamini.
2. Usipojiamini hufai kuwa kiongozi.
3. Katika mambo yote, watu wenye busara huweka mipango yao yote kwa kuzingatia "worst possible scenarios".
Ukivuna mahindi, unaweka akiba kama njaa itatokea. Hapa unakuwa umejiandaa kwa njaa.
Ukipanga budget, unaweka na contingency. Ni maandalizi kwa mahitaji ya dharura usiyoyategemea.
Ukipata mshahara, unatumia kwa kujinyima ili uwe tayari kukabili chelewesho la mshahara unaofuata.
Ukifanya makadirio ya mafanikio unatumia kadirio la chini. Maandalizi ya changamoto za mapato.
Ukikadiria matumizi, unakadiria gharama za juu. Maandalizi ya maumivu ya ongezeko la bei.

PK. Anaposema yuko tayari kwa worst scenario, anajua katika majadiliano kuna maelewano na kutokuelewana - ambako kuna madhara hasi. Lazima anakuwa anajiandaa kwa hali hiyo hasi.

Hata akiingia vitani, atakuwa pia amejiandaan kwa hali hasi ya kushindwa vitani. Ikitokea kapigwa, familia yake, taifa lake, n.k n.k.
Itakuwa ni jambo la ajabu, kuwa na kiongozi asiyekuwa na uwezo wa kuona uwezekano wa jambo hasi kutokea katika kila suala na ndio sababu kuna "Risk Management".

Natumaini umeelewa kwampba PK. hataki vita anataka amani lakini, anajua kuna uwezekano wa kuzinguana zaidi kiasi cha kupelekea vita, na hivyo lazima awe amejiandaa.
 
Huwezi tukana the whole population of 60mil people

Umefanya research gani mkuu?

Hizi blanket statements mnazotoa infact zinaonesha ujinga wako wewe binafsi kuliko ujinga wa ambao unawaongelea

SIsemi hakuna Watanganyika wajinga,wapo,ila sio wote milioni 60!

Mijinga mijinga kweli baadhi ya hii Mitanganyika

Darmian Kasema baadhi ya watanganyika na wewe unasema unakubali wapo watanganyaika wajinga hapo tofauti yenu ni nini?
 
Hakuna ukweli kwamba Rwanda ina nguvu hizo kijeshi, intelligence na ushawishi kama raisi wao anavyozungumza.

Kauli za Kagame ukisikiliza anataka wanyaRwanda wafahamu kwamba
1-Nchi yake ina nguvu kubwa kijeshi.
2-Nchi yake ina intelligence ya hali ya juu na ina taarifa za ki intelejensia kuhusu nchi zingine.
3-Wananchi wajue Rwanda si taifa dhaifu.

Ukweli ni kwamba Rwanda hata ikiingia vitani na Congo, Rwanda haiwezi shinda hivyo vita, hata USA haikutegemea raia wenye njaa Somalia kuweza kudhibiti askari wake kiasi kile.

Kagame anafanya hayo tokana na nafasi aliyopo na character ambayo ameitengeneza kwa wanyaRwanda.
Raia wake wanamuogopa, wanamuona ni simba wa Yuda, wanamuona ni invisible, hivyo hizo kauli zake anaongea zinazidi kumpa credits na zina reflect wanyaRwanda wenyewe, hivyo Kagame hizo kauli zake huwa anatuma ujumbe kwa wanyaRwanda wenzake, serikali yake na vikundi vya waasi ambavyo havimkubali.

Ni kama unajitekenya na kucheka mwenyewe.

Kwa hio kauli nyingi za Kagame kwenye mivutano na mataifa mengine sio kauli zenye uhalisia zaidi katika utekelezaji, bali ni kauli za kujipa promo, kauli za kuogopesha serikali yake mwenyewe na adui zake(vikundi).

Word. Wabongo wakishiba maharage wanaanza kuiponda nchi yao kwa amani then wanaanza kusifia utopolo wa Rwanda wanasahau Rwanda huwezi mjadili PAKA kwa namna yeyote ile bila kutiwa nguvuni to maintain that same image PAKA has to play a character.
 
Tshisekedi ndo huyo mwenye mishavu?
Huyo hapo mkuu.
FV3Zh-7WYAAvDy_.jpg
 
Watusi tunawajua kwa kujimwambafai, nyoko zenu!
Mu7 baada ya kukamata Uganda mshauri wake wa mambo ya kiusalama alikua PK tangia hapo Uganda apakua tena na mapinduzi mpaka sasa ni amani Uganda.
PK baada ya kushika urais Rwanda akuna tena mapinduzi kama ilivyokua awali.

Kusini mwa Tanzania kulikua na kitisho cha Alshabab wakitokea Msumbiji PK kapeleka jeshi Msumbiji sasa hivi akuna kitisho tena huko kusini.
Mzee Kabila R.I.P kwa msaada wa PK na M7 ndo walimtoa madarakani dikteta Mobutu.
sasa mkuu akuna sababu ya kuisema vibaya jamii inayoweka amani na ustawi kwenye mataifa haya ya Africa.
 
Huenda ndiye anatumiwa kutengeneza migogoro Kongo ili kulinda uporaji wa raslimali za Kongo! Nawaza Mabeberu kama US wako nyuma yake.Ulishawahi kusikia hata siku moja Rwanda ikipigiwa kelele na US au kuwekewa vikwazo vyo vyote?
 
Nadhani utakubaliana na mimi kuwa ktk safari ya maendeleo kuna ‘Necessary evil’ ambayo lazima itokee ili mambo mazuri yatokee.

Mfano; Mungu alimtoa mwanawe wa pekee (Yesu) ambaye aliuwawa msalabani ili Wanaadamu wasamehewe dhambi zao.
Unfortunately, kauli hiyo inapendwa sana na madikteta ambao kwa kawaida hujiona wao ni muhimu kuliko binadamu wengine. Hivyo hawawezi kuwa sehemu ya hilo kafara la “necessary evil”. Kwamba “lazima” wengine wafe ili “sisi wengi” tupone! Kibinadamu ni mantiki iliyopinda.
 
Kwanini anazihofia Kenya na Tanzania? M7 alishiriki Kwa namna fulani kumfanya awe hivyo Sasa hivi but Mbona anamchukulia poa tu kuliko Kenya na Tanzania? Why? Kenya walimfanya nn?
Na M7 alifikishwa kwny urais na wakina Nani?
 
Miafrika mtajidharau Hadi lini na kutukuza race zingine? Kuweni proud na vyenu bila kujinasabisha na watu ambao wanaona nyie bado nyani.

Ukiwaambia wayahudi kwamba wanyarwanda au wahabeshi ni ndugu zao wanatamani hata kujiua ila nyie Kila siku shobo haziishi.
umeongea Kama utani lkn ndio ukweli huo uliousema.
 
Hivi JK alimnyoosha vipi ndugu? Au unamaanisha alivyotuma jeshi DRC kuwapiga M23?
Baada ya kukutana na Kagame Adis JK alimshauri kua ni vyema akazu gumza na waasi wa Rwanda waliokua DRC kwa wakati huo, Kagame alivyorudi nchini mwake alikua mbogo na katika hotuba yake alitishia kumpiga JK na hatojua kapigwa na nini!!!! JK kwa busara zake hakuwahi kumjibu kamwe. Pamoja na kua na jeshi lenye nidhamu, mafunzo na uzoefu wa vita Kagame ana confidence ya kufa mtu.
Na M23 kilichowafanya wasepe Ni Obama(USA) kuwapiga mikwara na UK kuanza kuwakatia misaada Rwanda na hata leo kitakachofanya M23 wasepe tena Ni kauli za USA au UK tu lkn nje ya hapo hata lipelekwe jeshi la EAST AFRICA zitapigwa mchana kweupe na hawatasepa.
 
Back
Top Bottom