Pearce
JF-Expert Member
- Dec 15, 2018
- 577
- 1,381
Huyu Mzee amekuwa kero katika kuhusika destabilizing Serikali za jirani zake.
Kama haitoshi ametuhumiwa kujaza mashushu wake Kila Kona, kinachomshinda kwasasa amepima moto anaona hawezi directly confrontation na Tanzania kama anavyofanya kwa Burundi na Congo.
Lakini ni suala la Muda tu. Wakati alipopishana kauli na Mzee Kikwete alitamka kwa jazba ata hit Tanzania katika specific time na ndio muda ikatokea kambi yetu iliopo Sudan Kusini ikashambuliwa.
Ina maana External kwenye asset zetu anajiamini ila Internal anazidi jiimalisha
Hakuna jirani yake ambae hajagombana nae kuanzia Burundi Uganda na Tanzania. Na tena katika ngazi ya kidiplomasi ameshakuwa na migogoro na baadhi ya nchi nyingi za Kiafrika
Nani yupo behind ya huyu jamaa mbona anajiamini sana