Paul Kagame ashutumu nchi za EAC kwa kuua na kutesa watu wake. Tanzania tusikubali ageuze pori la Burigi malalio yake

Huyu mtu ana zile helcopter za kisasa kabisa Blackhawk na makombora yake ya Hellfire,hizi helcopter ni bad news,kwa hapa africa labda misri tu watakuwa nazo,
halafu sijui kwanini kanunua air defence,kwa kuhofia nani atamshambulia kwa ndege ukichukulia burundi hana airforce kivile,au hata congo,

utakuta nchi anazopakana nazo zenye airforce ni Uganda,ambao wana Sukhoi na sisi,
jamaa ilibakia kidogo aikamate congo licha ya kuwa congo ni nchi kubwa mno,isingekuwa majeshi ya zimbabwe na zambia leo hii wacongo wangekuwa nchini huyu mtu
 
Kenya ina vifaa lkn intelligency ni zero + discpline ya wanajeshi ni zero.Wanajeshi wa Kenya wanaingia kupigana na magaidi pale Westgate wanaanza kuiba chocolate humo humo kwny mall,wameenda tena kupigana somalia wakaanza kufanya biashara ya mkaa+mirungi,hakuna kitu pale.

Tanzania ndiye mbabe wa Kagame kwa EA sababu ya discpline ya wanajeshi+unity+intelligency+makadhalika kadhalika.
TZ IKO UCHI MBELE YA PAUL KAGAME (PAKA) TZ TUKIJARIBU TUNAPIGWA NDANIYA WIKI ATAKUWA ASHAMALIZA KAZI.

PAKA SIO WA MCHEZO MCHEZO.MILITARY DRIL ILE SO YA KAWAIDA !!
 
Hahhahah Mleta Mada wa Lumumba Kwa Taarifa Yako Kagame Ameshanunua Mpaka S200 Juzi tu Hapo Na Amejaza ma-BM-21 kama Yote cheki Military Drill Aliyoifanya Juzi + hao wadudu inaosemekana Amewajaza Kitengo,Unaanzia wapi Kumgusa?? Ilihali Jeshi Letu linaBangua Korosho Mtwara Hebu Malizeni kwanza Suala la Dr.Bashiru vs Membe na STIGLAS GOJI ndio Muanze kumfikiria Kagame.

Donna Kantre.
Zitakuwa pesa za kuhujumu madini ya DRC miaka nenda rudi na kama kaanza kuzitumia kujiimarisha kijeshi basi hatutamuweza ipo siku atashangaza dunia kwa kututanulia misuli kama USSR inavyomchachafya mmarekani. Na anajua umuhimu wa kuiba madini ya watu ambayo kwake hana ndio maana kamganda jiwe hadi mererani.
 
Kagame anakerwa na udogo wa taifa lake huku Rwanda ikiwa imezuungukwa na nchi kubwa sana za Tanzania, DRC na Uganda ambazo hazina kazi na ardhi yao. Utakuta vijana wa kitanzania wanaacha ardhi tele vijijini na kwenda mijini kuuza urembo mikononi.

Kagame alidhani kujiunga na EAC ingekuwa suluhisho kwa watu na mifugo yake kupata sehemu ya kupumulia, kitu ambacho hakioni hadi sasa EAC kikitokea, Anashangaa kwelikweli,
 
Duuhh mkuu mnakakuza haka kajamaa wakati hakana kitu ,

Na kulalamika kwake huku , kameanza kushikwa pabaya

Nikuambie tu hakana kitu
Wenzio wanatoa data kama vile silaha kalizonunua, kalivyomjibu m7 akawa mpole, kalivyomshika jiwe n.k sasa wewe tetea hoja yako kwenye vita hatuongei tu porojo kama unataka ushindi be realistic mkuu.
Toa ushahidi kwa nn tukadharau.
 
Huyu mtu ana zile helcopter za kisasa kabisa Blackhawk na makombora yake ya Hellfire,hizi helcopter ni bad news,kwa hapa africa labda misri tu watakuwa nazo,
halafu sijui kwanini kanunua air defence,kwa kuhofia nani atamshambulia kwa ndege ukichukulia burundi hana airforce kivile,au hata congo,

utakuta nchi anazopakana nazo zenye airforce ni Uganda,ambao wana Sukhoi na sisi,
jamaa ilibakia kidogo aikamate congo licha ya kuwa congo ni nchi kubwa mno,isingekuwa majeshi ya zimbabwe na zambia leo hii wacongo wangekuwa nchini huyu mtu
Hizi ndio hoja. Unatoa na data kabisa safi inamashiko hata kuikubali hoja kama hii.
 
Huyu mtu ana zile helcopter za kisasa kabisa Blackhawk na makombora yake ya Hellfire,hizi helcopter ni bad news,kwa hapa africa labda misri tu watakuwa nazo,
halafu sijui kwanini kanunua air defence,kwa kuhofia nani atamshambulia kwa ndege ukichukulia burundi hana airforce kivile,au hata congo,

utakuta nchi anazopakana nazo zenye airforce ni Uganda,ambao wana Sukhoi na sisi,
jamaa ilibakia kidogo aikamate congo licha ya kuwa congo ni nchi kubwa mno,isingekuwa majeshi ya zimbabwe na zambia leo hii wacongo wangekuwa nchini huyu mtu
Nadhani hapo kwny Zambia ulimaanisha Angola boss.
 
Ukiona hivo jua fidodido mr slim mtoa roho mentor wa stone pandikizi kivuruge anatafuta sababu ya kuliamsha
 
Back
Top Bottom