Paul Kagame ashutumu nchi za EAC kwa kuua na kutesa watu wake. Tanzania tusikubali ageuze pori la Burigi malalio yake

kwaiyo victory of RDF ni kuipiga uganda ndani ya congo na nini chanzo cha vita hiyo?

sasa kama slim kamshindwa nkurunzinza ambae yupo taabani atamuweza nan ukanda huu sasa?

kwa ukanda huu ni vigumu nchi yoyote kuisaidia rwanda endapo itapigana na burundi

chokochoko za rwanda dhidi ya burundi vitaibua vita ya ukabila na endapo itatokea hivyo rwanda ndie atakaepigwa vibaya haswaa

pk awe mpole tu walikuwepo wababe kama ottoman,mongolian,nazi.cheveck wa bulgaria lkn now wote wanadili na uchumi wao
Hapa umeongea ukweli,kule kwingine unaongea pumba tupu
 
Mmmhhh, hivi kama anataka kutupiga siitakuwa rahisi sana; maana kuna taarifa inasemekana kuwa wanao mlinda Jiwe a.k.a Pombesichai na pale anapoishi ni wanyarwanda kama hii ni kweli si hatari sana linapokuja jambo kama hili!
Yeyote anayejua hili ninaomba anijuze
 
Back
Top Bottom