Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,305
Lahaula, huyu mzee unamwita dogo?Dogo una laana sio bure
Lahaula, huyu mzee unamwita dogo?Dogo una laana sio bure
Dogo kulingana na mawazo yakeLahaula, huyu mzee unamwita dogo?
Hahaha anatulazimisha tuende kisimiri siyo....Ngaakwa, bila kuvuta bangi ni ngumu kumuelewa mleta uzi😂
Rafiki yake na JK aliliwa kichwa kwa Madiba na ikasemekana vijana wa PK ndio wamehusika.Ilikuwa ishu gani kwani mkuu, au walikuwa wana gombania Mwanamke ?!
Rafiki yake yupi? mbona mnatuficha sana!Rafiki yake na JK aliliwa kichwa kwa Madiba na ikasemekana vijana wa PK ndio wamehusika.
Unataka kutudanganya Mkuu Kagame alikasirika Kikwete kupeleka jeshi lenye nguvu na kuisambaratisha M23 inayofadhiliwa na Kagame hapo bifu la kitoto ni lipi?baada ya Tanzania kuwa mstari wa mbele huko DRC Kagame alikasirika sana na kutoa maneno ya dharau kuhusu Tanzania...Kikwete ni mwanajeshi na Kagame ni Mwanajeshi ukiona bifu zao hakuna utoto hapo..Walikuwa na bifu za kibinafsi tena za kitoto
Kule Uganda mkutano wa viongozi wa jumuiya ya Afrika Mashariki viongozi wakuu wa nchi za Africa mashariki walipogundua kuwa wana bifu binafsi tena za kitoto Kikwete na Kagame waliamua kuwa waende chumba cha pembeni wawili tu pembeni na Ukumbi wakaongee wawili tu bila walinzi au yeyote waongee utoto wao na ujinga wao wa ugomvi wao wa kibinafsi usiohusu wala mambo ya kisiasa wala nchi zao .Sababu wote walikuwa na vitu vya kitoto vya kibinafsi kati yao tena vya aibu
Walitoka wakasema wameyamaliza hadi Kagame alikuja kutembelea Tanzania waliyamaliza
Bifu lao wala halikuhusu nchi ni mambo yao binafsi tena ya aibu hata kuongea ambayo wao kama viongozi wakuu hawakustahili kuwa na bifu la kipuuzi kama lile hadi ionekane kama nchi zina mgogoro
Shame on both them Kikwete na Kagame
Sio kweli bhana hiyo ishu ya General naifahamu vizuri na wala haihusiani na urafiki wa JK.Rafiki yake na JK aliliwa kichwa kwa Madiba na ikasemekana vijana wa PK ndio wamehusika.
ILa General alikuwa ni rafiki wa karibu wa JK so labda ile issue ilimfanya kumu mind sana PK.Sio kweli bhana hiyo ishu ya General naifahamu vizuri na wala haihusiani na urafiki wa JK.
Kuna General wa PK alisepa na siri zake akaenda south.Rafiki yake yupi? mbona mnatuficha sana!
KaregeyaKuna General wa PK alisepa na siri zake akaenda south.
Mtu wa over 70 yrs unamuita dogo?Dogo una laana sio bure
Ilikuwa kipindi kile jeshi letu lililokuwa DRC kuwachakaza M 23 jamaa alimaindi sana wanawe kupata kisago kile.Lini hiyo.
Hapa JF unaweza kumuita mtu ana miaka 71 "dogo".Dogo una laana sio bure
Huyo ni dogo kifikra ila ni mzee kiumriHapa JF unaweza kumuita mtu ana miaka 71 "dogo".
Wakati wewe hujafikisha hata 50.
Yaa ni dogo kifikraMtu wa over 70 yrs unamuita dogo?
Hapa una spin sasa.Huyo ni dogo kifikra ila ni mzee kiumri