Hapana,
Kikwete akiamua kufanya kweli kweli, mawaziri wengi kwenye serikali ya Ben pamoja na Ben mwenywe watakalia mkeka wa misumari, vile vile baadhi ya mawaziri wake mwenyewe watakalia mkeka huo huo wa misumari lakini yeye mwenyewe ataukwepa kirahisi.
Kwenye Serikali ya Ben, wengi wenye makosa ya kutumia madaraka yao vibaya na pengine kumshauri vibaya rais ni mawaziri, hayo hayana ubishi na watakalia kikaango kwa ajili hiyo. Ben mwenyewe ananing'inizwa juu ya kikaango hicho pamoja nao kwa kujifanya mjasiliamali huku akijifaidisha kibiashara kwa kutumia nafasi yake kama kiongozi wa nchi huku angali amepanga Ikulu. Katika serikali ya Ben, Kikwete hana rekodi ya kuingia mkataba wowote wenye utata kwa niaba ya nchi. Kuna comments, zinazohuzu sovereignty ya nchi, alizowahi kutoa kuhusiana na ununuzi wa rada wakati akiwa waziri wa mambo ya nchi za nje lakini yeye mwenyewe hakuwa ameshiriki katika mkataba ule.
Kwenye serikali yake mwenyewe, ataweza kuwaning'iniza mawaziri wake wote wenye skendo mbalimbali na hivyo yeye mwenye kubaki hana hatia yoyote kwa vile mawaziri atakaowaning'iniza ni wale waliokuwa wanamshauri vibaya ikiwa ni kinyume cha kiapo chao, na hivyo kuwa amejisafisha na kuwa safi kabisa.
Rev Kishoka and other 'skepticists' ningependa kujua ni nini hasa mlitaka Rais afanye kwa sasa? Ajipeleke yeye mwenyewe mahakamani au? Nafikiri hata kama hatuamini sincerity ya Rais kwa sasa tutoe basi alternative wakati tunapom-critique! Inachukiza mtu aliyekuwa anapigania kwa nguvu zote mafisadi kupelekwa mahakamani, hadi kuamini kuwa kamwe hawatapelekwa mahakamani sasa anabadilika baada ya kuona wamepelekwa. Process inapoanza anadai hakubaliani na hilo kwa sababu anayeisimamia hiyo process naye ni muhusika katika ufisadi. Kwa hiyo afanyeje sasa! aache?
Sio kama nakataa kwamba kuna uwezekano wa kupigwa changa la macho, lakini kinachotakiwa sasa is to critique constructively. Pia kumbukeni sio lazima kubisha kila kitu ili uonekane unayajua mapambao sana au wewe ndio mwenye uchungu na nchi yetu kuliko wengine. Nimefikiria sana nini kinatakiwa Rais afanye ili apate support hapa JF lakini nimegundua hakuna. Labda ajipeleke mahakamani mwenyewe na kujiuzulu uraisi tu!
Nadhani sasa hapa hakuna logic bali ni chuki binasfi kwa Kikwete. Kwamba humtaki tu, basi!
Haya ni maoni yangu tu and I am open and flexible to change my position!
Nadhani sasa hapa hakuna logic bali ni chuki binasfi kwa Kikwete. Kwamba humtaki tu, basi!
Kutokana na mambo yanavyokwenda inabidi na rais pia ajiuzuru ili kupisha haki itendeke kwa kila anayeusika,kama alinyofanya mbeki baada ya kushutumiwa kua anaingilia mwenendo wa kesi ya zuma.lakini kwa kiasi kikubwa kikwete hizi kesi zote zinamgusa kwa namna moja au nyingine,hivyo ili haki iweze kupatikana ni lazima na yeye hajiuzuru ktk hili.
Rev Kishoka and other 'skepticists' ningependa kujua ni nini hasa mlitaka Rais afanye kwa sasa?
Nadhani sasa hapa hakuna logic bali ni chuki binasfi kwa Kikwete. Kwamba humtaki tu, basi!
Haya ni maoni yangu tu and I am open and flexible to change my position!
Rev Kishoka and other 'skepticists' ningependa kujua ni nini hasa mlitaka Rais afanye kwa sasa? Ajipeleke yeye mwenyewe mahakamani au? Nafikiri hata kama hatuamini sincerity ya Rais kwa sasa tutoe basi alternative wakati tunapom-critique! Inachukiza mtu aliyekuwa anapigania kwa nguvu zote mafisadi kupelekwa mahakamani, hadi kuamini kuwa kamwe hawatapelekwa mahakamani sasa anabadilika baada ya kuona wamepelekwa. Process inapoanza anadai hakubaliani na hilo kwa sababu anayeisimamia hiyo process naye ni muhusika katika ufisadi. Kwa hiyo afanyeje sasa! aache?
Sio kama nakataa kwamba kuna uwezekano wa kupigwa changa la macho, lakini kinachotakiwa sasa is to critique constructively. Pia kumbukeni sio lazima kubisha kila kitu ili uonekane unayajua mapambao sana au wewe ndio mwenye uchungu na nchi yetu kuliko wengine. Nimefikiria sana nini kinatakiwa Rais afanye ili apate support hapa JF lakini nimegundua hakuna. Labda ajipeleke mahakamani mwenyewe na kujiuzulu uraisi tu!
Nadhani sasa hapa hakuna logic bali ni chuki binasfi kwa Kikwete. Kwamba humtaki tu, basi!
Haya ni maoni yangu tu and I am open and flexible to change my position!
Makosa hayo yameelezwa mahakamani hapo kutendwa katika kipindi cha mwaka 2002 na mwaka 2007, ambako Mramba aliandaa na kutoa matoleo ya Gazeti laSerikali (GN) yenye namba 423/2003, 424/2003, 497/2004, 498/2004, 377/2005 na 378/2005 ambayo yalilenga kutoa msamaha wa kodi kwa Alex Stewart (Assayers) Government BC uliofikia kiwango cha Sh 11, 752, 350, 148/- bila kuzingatia sheria ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Kwa mamlaka yao na nafasi zao, Mramba na Yona wamedaiwa mahakamani hapokwamba bila kuzingatia wajibu wao waliokabidhiwa na serikali waliingia mkataba ulioisababishia serikali hasara ya Sh 11, 752, 350, 148/- kutokana na kampuni hiyo ya uhakiki wa dhahabu.
Imedaiwa kwamba Mramba kupitia matoleo mbalimbali ya Gazeti la Serikali amewezesha kutolewa kwa msamaha wa kodi ya mapato iliyopaswa kulipwa na kampuni hiyo ya Alex Stewart kinyume cha sheria ya Kodi ya Mapato.
Nurujamii,
Mkuu haya maneno mazito sana na sidhani kama kweli Rev, Kishoka amefika huko isipokuwa nadhani tatizo linalowasibu wengi hapa ni kesi zenyewe zilizowakilishwa dhidi ya viongozi waliotajwa zinaonekana kuwa ni DHAIFU sana kiasi kwamba zinaacha mwanya na penyo za ushindi kwa watuhumiwa. Jana tu nilikuwa naongea na mshikaji akanambia kwa nini anaona kuwa hili ni changa la macho!
Kama unakumbuka hapa JF sote tumepiga kelele kuwa hawa jamaa ni WAHUJUMU uchumi kwa hiyo tulitegemea kesi zenyewe ziwe ktk kundi hilo la mashtaka lakini inaonyesha wazi kuwa ni swala la Negligence or misconduct ktk ofisi zao...Jambo ambalo linapunguza nguvu ya mashtaka ya Hujuma walizofanya..
Kwa hiyo sio kwamba JF hakuna watu wanaoweza kumuunga mkono Kikwete isipokuwa kilichotakiwa haswa kufanyika sio tu kufikishwa watu hawa mahakamani isipokuwa kesi dhidi yao ziwe zile ambazo sote tunazijua..
Hadi sasa hivi namuunga sana mkono at least kaweza kuinua kidole!...Sasa hivi ndio baadhi ya Wadanganyika wanaanza kujua Mkapa alifanya nini..yet nashangaa bado wapo wanaosema alikuwa kiongozi bora!.. Yale yale ya Mugabe na wafuasi wake.
You on point Rev
Check the rhyme yo
You on point Rev
All the time yo
so play the resurrector and give the dead some life.
Industry rule number four thousand and eighty,
CCM people are shaaaady
So kids watch your back cause I think they smoke crack,
I dont doubt it, look at how they act.
Off to better things like jamiiforums...
Paroding A Tribe Called Quest's "Check The Rhyme"
Rev. Kishoka,
Mkuu mimi naamini kabisa kuwa huu ndio mwanzo wa habari na mengi yatakuja (hisia zangu)..Sijui lakini mkuu hadi sasa hivi sioni kamba ama kawa limefunika ubwabwa, wanaharamu tupite!..
Zaidi najiuliza MOTIVE nje ya Ufisadi lakini mkuu hii ndio imetokai.. Yawezekana kabisa kuwa ndio wakati wa kuimaliza kabisa kambi ya Mkapa, nje ya hapo mkuu Mkapa na Lowassa wapo njiani naisikia harufu kisha huruma inaniingia kwa mzee yule..
Nyavu zimeisha wekwa, kina Jeetu inakwenda kwa Lowassa na Rostam, na Mramba na Yona inakwenda kwa Mkapa..Kaburi kishalichimba mwenyewe anasubiri tu wakati, kumbuka maneno ya Warioba kuwa nasubiri tu muda wa kuitwa!.. info tayari zimeisha mfikia...
Kumbuka hata wale Mafia wakubwa wanapotakiwa kukamatwa huanzia kukamatwa kwa samaki wadogo ktk pond lao..Na hwa ndio huwa mashahidi wa kesi kubwa zaidi.
Mimi nina hakika huwezi kupata ushahidi tosha wa kumweka Mkapa kortini kama hujapitia kwa mawaziri wake ambao ndio watekelezaji wa mambo mengi.. kwa hiyo kila kasi yoyote ile huanza kwa hatua...
Paukwa pakawa... Another one bust to dust!
Rev alipoanza kuelezea hili, wengi pengine, hawakumuelewa.
Kuna mdau anasema, eti Rev anachuki binafsi na JK!!
Kuna wakati watanzania wanakuwa vipofu, ila si wote, kutupumbaza kwa kumuweka Yona na Mramba, kunaelezea mengi juu ya serikali ya JK na BMW.
KWANZA JK ALIMTEUA MRAMBA KUWA WAZIRI???? WHEN WAS ALEX STEWART HAPPENED??/
JK wakati anamteua mramba , EL, Chenge alijua fika kuwa thsese guys are not clean!!!!
unapozungumzia mikataba mibovu mingi JK alikuwa waziri nyakati hizo nae alihusika kwa namna moka ama nyingine, tena ashakuwa waziri wa nishati na madini.
Mkuu unaposema JK AJIUZULU UNAJIVUA KUTOKA KWENYE MACHO YA VIPOFU WENGI WANAOTAKA TUAMINI JK, IS CLEAN, WAKATI WAMESALETA HASARA YA ZAIDI YA HIYO BILIONI11.
JK JIUZULU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
waberoya
Waberoya,
Mkuu sasa na wewe unatoka nje kwa sababu anayewashitaki hao watu sio Kikwete isipokuwa ni serikali ya Tanzania. Sasa tunapojaribu kusema kuwa mhusika wa mipango ya kesi hizi ni Kikwete moja kwa moja tunakuwa tunapotosha Umma..
Kikwete ameruhusu vyombo vya sheria vichukue hatua kuhusiana na watuhumiwa na sidhani kama ni kazi yake kufungua ama kupanga mashtaka gani yafunguliwe wala sidhani kama ni yeye aliyefanya uchunguzi, tujaribu kutafuta kiini cha vitu hivi badala ya kulaumu tuuu..Mfano kwa nini Kuhujumu Uchumi haikuwa sababu kubwa ya viongozi hawa kupandishwa Kisutu..

Mimi natofautiana na wewe kiasi,ktk nchi inayofuata utawala wa sheria ambapo tanzania haimo,raisi wa nchi hana mamlaka ya kuwafikisha au kutoa kibali ili mtu afikishwe mahakamani,bali ni vyombo vya dola vyenye dhamana ya kushughulia maswala yote ya ukiukwaji wa sheria na taratibu za nchi.
Lakini bongo eti mpaka mtu fulani aseme ndio wengine wafuate,raisi pamoja na serikali yake kazi yao ni kuwasimamia watendaji ikiwa na kuondoa uzembe wote uliopo kwa watendaji ambao awatekelezi majukumu yao waliyokabidhiwa na wananchi.
Kumbuka ule msemo wa nchi haitakalika au itayumba ni pamoja na wakuu wa serikali kwa na uhusiano wa haya mashitaka.
Kuna kitu kimoja, nchi itumie sheria au ifanye hukumu kuridhisha wananchi. Unapohamua kutumia sheria ni lazima hoja ijengwe ya kisheria. Yona anaweza kuwa na nyumba nzuri Arusha wakati mshahara wake hauwezeshi yeye kuwa na nyumba hiyo. Kama unatumia sheria ni lazima u-prove kuwa nyumba hiyo haikupatikana kihalali na sio kutumia maoni ya wananchi.
Nilijiuluiliza:
1. Kikwete yuko consistence na anachokinfanya.?
2. Ana clear definitinon ya anatoka wapi na anakwenda wapi?
3. Ana Principal na mwelekeo unaoelezeka kwa A-Z na sio kuwa anakurupuka?
4. Inamaana he was learning the MOVE all the time before He CONFRONT...Mhhh ...does it mean He is that Clever??
5. Inamaana He is so good to have that clarity and patince....REALLLLLLY?
Jamani eee, pamoja na Ukihiyo wangu, lakini najua kusoma na kufikiri!
Ukisoma hiyo nukuu ambayo TAKUKURU wameiweka katika kumfungulia kesi Mramba, utagundua kuwa Mramba hakufanya alichokifanya kwa siri, bali alikitangaza hadi kwenye Gazeti la Serikali.
Sasa najiuliza tena, kama Mramba alifanya hivi kwa miaka mitano mfululizo, Raisi wake, Mwanasheria Mkuu, Mkuu wa TRA, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge, Baraza la Mawaziri, Wabunge na wale wote wenye mamlaka kumhoji na kumsitisha kufanya alichokifanya, walikuwa na mtazamo gani waliposoma matangazo haya ya misamaha kwenye Gazeti la Serikali? Kwa nini walikaa kimya hata wao TAKUKURU?
Kwa nini tulimruhusu Mramba kwa miaka mitano aendelee kutoa msamaha kinyume na sheria za mamlaka ya kodi ya mapato? Kwa nini TRA hawakulalamikia hili hata kulipeleka Ikulu au kufungua mashitaka pale uvunjaji huu wa sheria na matumizi mabaya ya uongozi ulipotokea?
Je Waziri, Baraza la Mawaziri, Tanzania Investment Center, Mkuu wa TRA na hata Rais, wana nguvu na mamlaka gani kisheria wanapotoa misamaha ya kodi? Je maamuzi yao ya kuvutia wawekezaji hayapingani na sheria na mamlaka za TRA?
Je waziri wa fedha na hata waziri wa viwanda na biashara si wana turufu ya kutoa maamuzi ya misamaha kupingana na sheria au bado Mchungaji anachanganya mambo?
Zakumi,
Wakati wa kikao cha bajeti cha Bunge, Bernard Membe alisema kuwa kuhusiana na suala la EPA, wananchi wajiandae watafurahishwa na Serikali kuhusiana na mambo ya EPA. Sasa tunafurahishwa tunapiga kura za Ndiyo, miezi 22 kabla ya uchaguzi!