Mpangaji mwenzangu jana ameibiwa simu yake mpya ya Tecno M3.
Alikuwa anafungua kwa pattern,je wezi wataweza kuitumia au mpka wa flush?
Asante sana ila naamini kwa ku reset watafuta documents zake zote na kama hivyo ndivyo itakuwa nafuu kubwa.Vipi hizi free anti theft software?Wataweza kuitumia, baada ya kufanya factory resert kwa kutumia volume botton + power button. And within seconds inakuwa kama mpya.
Alafu watanzania wengi wanatumiaga sana hizo security za kuchora sijui kwa nini hususani Tacno!!
Asante sana ila naamini kwa ku reset watafuta documents zake zote na kama hivyo ndivyo itakuwa nafuu kubwa.Vipi hizi free anti theft software?
Alafu watanzania wengi wanatumiaga sana hizo security za kuchora sijui kwa nini hususani Tacno!!
Mi huwa hata sipendi kuzitumia hizo patterns
haaa! tumie mcafee mobile security tamu sana ina find device,lock,capture camera kwa mtu anayejaribu password za kuiba,wipe all data nk
Inaweza tumika bila kuflash na data zikaonekana ila ni wachache wanaweza, majority watareset data zitapotea
haaa! tumie mcafee mobile security tamu sana ina find device,lock,capture camera kwa mtu anayejaribu password za kuiba,wipe all data nk
Dawa yake ni Factory reset hii haina jipya...
Kama unataka kitu ya Maana ni Avast anti-theft(rooted) yaani inaifanya hiyo app iwe system file pia unaweza ku-set kwamba simu ikishaibiwa isiweze ku-access APPLICATION MANAGER hii itazuia wale wezi wanaofanya kubadirisha ROM ya simu...
Swali: Kama nikii-root simu yangu na kufanya hiyo Anti theft software iwe kama system file, na mwizi naye si anaweza kuiroot tena hiyo simu na kufanya un-install?
Inaweza tumika bila kuflash na data zikaonekana ila ni wachache wanaweza, majority watareset data zitapotea