Pattern na wizi wa simu.

Pattern na wizi wa simu.

android kwenye suala la security hamna kitu, mwisho wa wezi iOS!
Kuna agreement fulani niliisoma sehm kati ya watengezaji wa os za simu kuhusu security sjui iliishia wapi, wangefanya kama Apple wangediscourage sana wizi wa simu!

Mbona nasikia kila siku watu wanatoa iCloud lock...
Kumbe wizi wa simu ni innevitable
 
Nasikia kuna software au pplication
Kwenye android inazuiya cm isifanye factor reste hii ni kweli au ?
Km ipo naomba tujuzane
 
elewa...
patern na paswors n mlinzi wa taarifa zako muhmu zlizo katka simu... sio mlinz wa Simu yako... patern inalinda taarifa ksma za
-emails
iwe gmail͵ au nyngne kama yahoo ovi au hotmail
-Mifumo ya kifedha
simanishi mpesa na tigo pesaͺͺͺ Nazungumzia huduma za visa͵ master card na ambayo ukiwa umeunga na paypal email itahusica kwa kias kikubwa
-personal na confidential information
eg logins͵ contacts informations na na wengne huwa tunatengeneza diaries kutumia notepad ya simu..

hz n information muhimu kuliko simu yako ila watu hawazizingatii sana na patern na paswords n mwokoz wako japo nmeskia kunanjia ya ku access ikiwa huja fanya too many attempt .. I'm not sure sana ...

ila kama ulieka taarifa chafu kama picha chafu za madem zako kwenye memory card kesho lazma tuzikute rahatupu.blog
 
Kwahiyo hakuna software yoyote
Itayokufanya cm za android icfanye reset
Bac hizi cm kuibiwa ni rahic
Naumia na cm yangu ya android
 
Mbona nasikia kila siku watu wanatoa iCloud lock...
Kumbe wizi wa simu ni innevitable

Hata warusi imewashinda, nani huyo anayetoa? unaweza kubypass activation tu, lakini hauwezi kutumia chochote bila activation!!! ukiweka line tu umeumia, ikizima ukiwasha umeumia, ngoma ngumu utadanganywa tu, iPhone 5s iliyofungwa mtaani laki 2 mpaka 150!!! hazina maana labda kama unataka spare parts, Apple wako aggressive sana na ujingaujinga wa wizi, hata kama ni yako kihalali umesahau password kama umesahau na security question na haukuweka recovery email we tupa tu hata ukiwapigia watakwambia hawawezi kukusaidia!
 
Sijui nimechanganya au la?...Ila nimeona matangazo mengi kwenye makundi ya Dar deals(fb and Telegram)
 
Sijui nimechanganya au la?...Ila nimeona matangazo mengi kwenye makundi ya Dar deals(fb and Telegram)

hakuna kitu ndugu yangu, dogo mmoja alikuwa anataka kuibia watu simu zao, mwingine humu akadai erick anafungua, anaapiza kabisa, ukimpigia eric mwenyewe kama anafungua icloud lock anakuuliza "imefungwa kwa mtandao gani?!!!!"....looooool!
 
Lumia ni nzuri pia. Simu ikiibiwa kuna kitu kinaitwa find my phone kwenye computer. Hii inakuwezesha kujua simu ipo mtaa gani na nikiasi cha wewe kwenda phisically na kuchunguza kidogo na kuichukua. Pia waweza kudelete kila kitu ndanj ya simu ukishagundua,imeibiwa.
 
Hapo nimependa zaidi
Hebu tupeane maujanja Chief- mkwawa
Umesema bila ya kupotea data zake hiyo cm

kaka hebu google kwanza ukishindwa rudi. Maana acess yangu jf ipo limited sana sasa hv
 
Last edited by a moderator:
Kaka njunwa wamavoko android haifungiki just tunaprotect simu zetu toka kwa watu wa kawaida ila mikononi mwa proffesional ipo vulnerable

kwa kutumia debug mode tu unaicomand simu ifanye chochote ikiwa imezima huku umeiconect na usb cable

wenzangu wa mediatek wao ndo unakomba data zote na simple sms attack, kuna bug nyingi sana za android sijui maybe knox inaweza kusolve hilo tatizo
 
Last edited by a moderator:
android kwenye suala la security hamna kitu, mwisho wa wezi iOS!
Kuna agreement fulani niliisoma sehm kati ya watengezaji wa os za simu kuhusu security sjui iliishia wapi, wangefanya kama Apple wangediscourage sana wizi wa simu!

inaitwa kill switch. Inatengeneza lose-lose situation. Yani ukiibiwa simu unaweza ukaiua simu isitumike tena. Ni nzur kwa wafanyabiashara ila watu wa kawaida sidhan kama wataikubali
 
hakuna kitu ndugu yangu, dogo mmoja alikuwa anataka kuibia watu simu zao, mwingine humu akadai erick anafungua, anaapiza kabisa, ukimpigia eric mwenyewe kama anafungua icloud lock anakuuliza "imefungwa kwa mtandao gani?!!!!"....looooool!

Nimeambiwa kwa mara nyingine huyu kiumbe anatoa icloud lock 0785506535
 
Wala sijui nimetest zali kuuliza tena kuna Group fulani Telegram la mauzo ya bidhaa...nilipouliza kuna mdau kanipa namba kwamba huyo mtu anatoa hizo lock

hahaha, atakuwa na yeye ni walewale tu! kwenye hizo groups hata useme unahitaji submarine lazima kuna mtu atasema anayo!
 
Hizi simu sijui wamezilock wapi kuna Xperia V nimeletewa kutoka England ila ina passwords, nimejaribu kureset kwa hizi njia zimegoma
1. volume up+ switch on
2. volume down + switch on
3. volume up + volume down + switch on

Njia hizo zote zimegomesha hata ukiweka Kwenye laptop huyaoni mafile inaonekana empty.
 
inaitwa kill switch. Inatengeneza lose-lose situation. Yani ukiibiwa simu unaweza ukaiua simu isitumike tena. Ni nzur kwa wafanyabiashara ila watu wa kawaida sidhan kama wataikubali

Vp kuhuc hiyo iCloud lock
Imeshatoka maana kwenye play store haipatikani ?
Na hiyo kill switch hapo mm umeniacha kidogo naomba ufaham zaidi
 
Back
Top Bottom