Patrobas ni pengo kubwa CHADEMA

Kampeni za udiwani kila kona kwa amani kabsa hakuonekani magari ya washa washa wala deraya!
 
Kuhongwa na magamba raha kweli kweli.....
hebu cheki jamaa anavyochekelea, si bure kukenua namna hii..., anajua kuwa akaunti imeshasoma na mambo yake sasa safi...!
 
Kataa kuwa karai ewe kijana wa kijumba cha maajabu ufipa kwani kila aingiapo mwenye sumu ya rushwa husafishwa na kuwa msafi kama theluji[emoji83][emoji83][emoji83][emoji83][emoji83][emoji83][emoji83]
 
Kataa kuwa karai ewe kijana wa kijumba cha maajabu ufipa kwani kila aingiapo mwenye sumu ya rushwa husafishwa na kuwa msafi kama theluji[emoji83][emoji83][emoji83][emoji83][emoji83][emoji83][emoji83]
miaka miwili kila wakiwafua jamaa bado ni wachafu tu!
 
Labda pengo la[emoji117] [emoji108]
 
Fikira za kijinga kabisa hizi,kwa hiyo chadema patrobas ndo alikuwa bora kuliko mamilioni ya wanachama wengine wa chadema!?? Hata akiondoka mbowe na lowassa,bado chadema itakuwa imara,ndo maana aliondoka Dr.slaa na wengine lkn chadema imebaki imara!

Huyu wala si wa kumsikitia,kwa sababu bado yupo hai..! Kilichompeleka ccm ni tumbo wala siyo uzalendo. Hao wote wameahidiwa vyeo na wote watapata. Rais hawaamini wana ccm wenzie,anaona bora afanye kazi na wapinzani kuliko ccm. Ndani ya ccm watu wa kuteua wameisha kabisaaaa....
 
Ukisikiliza kauli ya mashinji ndio utajua umuhimu wa huyu kijana!
 
Pole kwahoja yako dhaifu unatafuta kuungwa mkono na makinikia chadema ni taasisi kitambi kimetafuta pakula
Akiwa chadema ni msomi,hana njaa but akihama maneno lukuki,ana njaa,hana shule,kanunuliwa,siyo mzalendo.msitegemee kuendelea kwa aina hiyo ya siasa zaidi tegemeen kuporomoka ziadi,kwani kilichowapandisha ni hoja ngumu za kupinga ufisadi na si hizi hoja za mange za kuchamba
 
Mbona jamaa (chadema) wanatafuna makande kwa kwenda mbele? Hilo pengo si lingewaletea shida!?

Unaishi jehanamu yanayoendelea peponi huwezi yajua.
 
Mbona jamaa (chadema) wanatafuna makande kwa kwenda mbele? Hilo pengo si lingewaletea shida!?

Unaishi jehanamu yanayoendelea peponi huwezi yajua.
Pepo ya ufisadi na ujangili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…