Patrobas Katambi wa CHADEMA, atekwa akirudisha fomu ya ubunge Shinyanga Mjini

Status
Not open for further replies.
Ubunge mtamu mwaka huu tutaona mengi kazi gani unakaa tu unalipwa milioni 12 kwa mwezi.
 
Wakuu,
Ni kweli tukio limetokea mapema leo hii, lakini "wavamizi" hao wameondoka na copy. Na si original form.

Mpaka sasa napoandika, saa7 mchana. Tupo hapa ofisi za mkurugezi Jimbo la Shinyanga mjini. Tunarudisha fomu na zimepokelewa.

Bao la mkono,jimbo la Shinyanga Mjini, limekwama. Tumejipanga sawasawa.

Mapambano yanaendelea...
mpaka mnatekwa Redbrigade walikuwa wapi ?
 
Ni kweli katekwa wakachukua form zilikuwa kwenye mkoba ila zote ni photocopy na mmoja wa waliochukua form kamjua kwa sura
 
Wakuu,
Ni kweli tukio limetokea mapema leo hii, lakini "wavamizi" hao wameondoka na copy. Na si original form.

Mpaka sasa napoandika, saa7 mchana. Tupo hapa ofisi za mkurugezi Jimbo la Shinyanga mjini. Tunarudisha fomu na zimepokelewa.

Bao la mkono,jimbo la Shinyanga Mjini, limekwama. Tumejipanga sawasawa.

Mapambano yanaendelea...
Kwa hiyo hao wavamizi wamemchagua copy na kuacha original, na hiyo copy alikuwa anapeleka wapi?

Siasa za kipumbavu sana hizi, mnawajaza wananchi taharuki isiyo na sababu.
 
Kama hizo original zipo afanye haraka na aombe ulinzi wa polisi ili asije pitwa na muda au kutekwa tena. Dalili si njema hapo makamanda.
 
kwa hiyo kama ametekwa na kunyanganywa form ndiyo mwisho wake kugombea ubunge au atapewa nyingine za kumhalalisha kuweza kugombea ubunge?????? #msaada katika ili tafadhali.
 
huyu Kamanda Patrobas ---- sana, kamanda gani huyu??? Heri hata angeshinda Peneza, huyu lofa shida sana. Kazi za bavicha kwa kiasi kikubwa amefanya Sosopi. Mdomo mkubwa ana shidwa kuushurutisha kama mwenzake daimond anavyo utumia kuimba, kula na kunyonya zari
 
Duh hii hatari ila naogopa isje kuwa kama yule mgombea wa serikali za Mitaa Mlalo Lushoto mwaka jana aliyenunuliwa na kujifanya ametekwa hadi muda wa kuridisha form ukapita. MANI sipo online kule kwenye group. Hizi taarifa zina ukweli kiasi gani?

Cdm ni wajanja. Wanatengeneza mazingira ya kuonewa ili wapate huruma za watu. Baada ya utabiri wao kuwa uchaguzi ungesogezwa mbele kwa kusingizia tume ya uchaguzi ingeshimwa kukamilisha taratiibu kubuma, sasa wataanza kujiteka wenyewe. mbona fomu zimefika salama zinakotakiwa?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom