Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,095
Nadhani anafaa kama kachaguliwa na mwenyewe jembe magufuli sina shaka.
Taarifa tulizopata punde ni kuwa Bwana. Patrick Mfugale aliyekuwa Acting Chief Executive wa TANROADS ameteuliwa kuwa Mkurugenzi mpya wa TANROADS.
Habari zaidi baadae
Yule waliishamtoa kitambolile fisadi lenye majivuno limpigwa chini
Huyu anapiga mzigo si sawa na fisadi Mrema (former TANROAD CEO) aliyemchimba mkwara waziri kanyaboya Kawambwa
mrema amewahi kusema nikishtakiwa kwa ufisadi nitataja vigogo wa CCM wanaochukua hela TANROADS
wa GALA mnapeana tuu vyeo
hongereni...wala sioni ubaya kila mmoja anakula kivyake
Naona wanasoma wasifu wake kwenye uzinduzi wa flyover TAZARA... vipi amedanja au?Mfugale,,,
kumbe haya mambo hayajaanza jana eeeeeh !!!Taarifa tulizopata punde ni kuwa Bwana. Patrick Mfugale aliyekuwa Acting Chief Executive wa TANROADS ameteuliwa kuwa Mkurugenzi mpya wa TANROADS.
Habari zaidi baadae
Maswahiba haoNadhani anafaa kama kachaguliwa na mwenyewe jembe magufuli sina shaka.
Hebu tupe wasifu wake mkuu
angalia Post ni za May 2011 hata Magafuli hajafikiriwawasifu mbona ulitolewa pale TAZARA wakati wa uzinduzi wa Mfugale Flyover.
Eeh bwanaPMfugale amekuwa aki-kaimu hii nafasi kwa muda halafu kwa "standard" za PMagufuli huyu ndiye alikuwa choice yake "by default"!
ni kitendo cha kushangaza pale magufuli akibishana na rais kuhusu chief mpya wa Tanroads na magufuli ameweka sharti kwa rais kikwete bila ya MFUGALE yeye anajiuzulu kazi