Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
Hii[emoji160] ??Babu yng anafanana na kufuli
Huo msitari wa mwishoMark Calaway A.K.A The Undertaker, The Phenom, The Demon of death valley, The Lord of darkness, America's bad ass gay biker.
Kufuli [emoji356]Hii[emoji160] ??
KivipiKufuli [emoji356]
Labda anachukuliwa na wanyamaHuyu jamaa ni shoga kumbe?
Sipati picha jamaa anae mkunjaHuyu jamaa ni shoga kumbe?
Gay is synonymous to Punk. A very bad behaved boy. Siyo kila mtu akisema ni GAY basi ujue ni Homosexual. Hata msanii Eminem alikuwa anataniwa ni Gay kwa maana kwamba ana tabia chafu na za hovyo.Huyu jamaa ni shoga kumbe?
Na poda hizo hizo anatoa chai nzito mnoKumbe naye mpaka poda hiv!!!
Akivuaga lile kofia lake unaweza hisi anaua mtu.