Mmh shost shuhuli pevu hii. Dady Baba V plzz come hia unsaidie huu mchakato
Mwanangu wachumba wenu wenyewe hawa hata nyumbani hawajafika, adabu hawana kabisa, wasije wakanidunda bure baba yako, ngoja kwanza pombe za sikukuu zinitoke then ntakuja na maamuzi kama katiba mpya.

Ok dady nakusubiri,sasa sio ukakamatike kule upotee mazima. Uwahi kurudi home leo tule pamoja
Sa 9 alasiri nitarudi hapa kutoa maamuzi
Samahani Mzee Baba V nami nimempenda bint yako Bantu lady mchumba wake haonekani muda sasa naweza kuleta barua ya Posa?!.
Sa 9 alasiri nitarudi hapa kutoa maamuzi
Mwanangu wachumba wenu wenyewe hawa hata nyumbani hawajafika, adabu hawana kabisa, wasije wakanidunda bure baba yako, ngoja kwanza pombe za sikukuu zinitoke then ntakuja na maamuzi kama katiba mpya.
Kumbe Bantu Lady ni mtoto wa Baba V?
Kumbe Bantu Lady ni mtoto wa Baba V?
baba mke kwani mwanao ana wachumba wangapi zaidi yangu?
nijulishe mapema posa yangu isipotee bure, kwani ndiyo nipo kwenye mpango wa kuitoa..
Ulikuwa wapi mbona ulikimbia bila taarifa?

Kuna mtu unataka kumpiga chini?
Ndo nimerudi mjengoni
Sasa naona honey faith atakufaa sana.
Sa 9 alasiri nitarudi hapa kutoa maamuzi
Naona atakuwa baba wa hiari shosti. Maana hata sina taarifa hiyo. Mi najua ni baba wa shostito wangu Valentina.
Karibu sana! Vipi Jana Valentine?!.