Mi simoooo mapenzi ni ya watu wawili.
Sipati picha shostito wangu hapo ulipo. Hebu jaribu kumcheck kwa njia nyingine basi sweet.
Mi mwenzako kila dakika Sungura1980 lazima anitafute ajue kama niko okay. Nampendaje huyu mwanaume acha tu.
Pole best
Nilikuwa disco sasa nimerudi sema valentine.
Nimeolewa shemeji yangu na sungura1980. Now yuko very busy kuwa humu ila kwangu kila dakika yupo.
Haki ya nani siye mabachela sugu tuna kazi...
Hivi hakuna forum la wachumba na. Wengine tukachumbie huko tupate wenza?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Gharama gani uliyotumia? halafu unamuitaje mke hata kujitambulisha haujaenda kila siku unampiga kalenda kasema yote na ndo umemkosa huyo....amepeperuka hukujua umuhimu wake eeee 'valentina' njoo huku bwana unakuaje na mtu hakujali bana raha yake iko wapi unalialia hebu njoo ufutwe machozi huku mpaka utajilaumu kuwa ulikuwa wapi siku zote
Wewe nipe nafasi kamwe hautalalamika tena humuOops,una karibia kuwin my heart! Ebu endlea kutoa sera zako
Mkuu umepotea sana mpaka tunahisi umetelekeza.
Wewe naona mzigo umekushinda ila unajikazatu usione shida acha tukusaidienilikuwa juu ya mlima kilimanjaro,
mi kupotea siku mbili isiwe kigezo cha wewe kutaka kumng'ang'ania mke wangi..
namwita mke wangu kwa sababu ndiye nitakae muoa tu
Wewe naona mzigo umekushinda ila unajikazatu usione shida acha tukusaidie
Mwambie mwenzako bwana hata kaa alalamike tena watu tunajua wajibu wetu bwana!Best unajua nakupenda sana eeeh, sasa jaribu kufanya maamuzi Daudi1 unamjua bonge la mzungu. na Uran wamjua pia sasa kazi ni kwako.
cc: Valentina
Alikuwa anataka ajiridhishe kwanza kabla hajafanya maamuzi mazito si unajua kina cha maji hakipimwi kwa miguuvalentine angekuwa anakupenda angetoa majibu ya kuhamia kwako kabla mumewe hajarudi.
Naona kuna harufu ya kuachwa mtu hapa...............stay far a bit with her, we mwenyewe unajua kabisa siwezi kumtelekeza kabisa na siwezi kumwachia
hapo uelewe
Mwambie mwenzako bwana hata kaa alalamike tena watu tunajua wajibu wetu bwana!
Naona kuna harufu ya kuachwa mtu hapa...............
Njoo mama hautatamani tena kurudi misri si unaona kulivyo na manyayaso njoo nchi ya ahadi yenye maziwa na asaliOMG:wat wl i du nw