uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 19,148
- 32,102
Wewe njoo utakubali mwenyewe hakuna upweke tena
nina mpango madhubuti sana wa kufanya mambo makubwa zaidi..
Wewe njoo utakubali mwenyewe hakuna upweke tena
Mambo gani unamchocha mtoto wa watu hebu tuachie tumpe raha maana unaonyesha umeshindwa mpaka amekuja kulalamika hadharani,hayo mngemalizana chumbani sasa kaa kando tu!nina mpango madhubuti sana wa kufanya mambo makubwa zaidi..
Unasoma nini huko page ya sita?niko kwenye page ya sita
Unasoma nini huko page ya sita?
Mambo gani unamchocha mtoto wa watu hebu tuachie tumpe raha maana unaonyesha umeshindwa mpaka amekuja kulalamika hadharani,hayo mngemalizana chumbani sasa kaa kando tu!
Urani popote ulipo tambua nakuhitaji siku yaleo kuliko maelezo. Kwanzia juzi nakusakasaka sijakutia machoni. Patachimbika usiponipa maelezo ya kuridhisha leo
Mambo gani unamchocha mtoto wa watu hebu tuachie tumpe raha maana unaonyesha umeshindwa mpaka amekuja kulalamika hadharani,hayo mngemalizana chumbani sasa kaa kando tu!
Nilikuambiaje? Umeamini sasa? Nilipitiwa na usingizi na suit yangu nyeupe na tai nyekundu nakusubiri tutoke kumbe unafanya haya? Kwanini unapenda kuiumiza nafsi yangu?
mi ndiyo mwanaume pekee ninaeweza mtosheleza huyu mke wangu..
I love u dearly..
i have ;; i 8 flowers for u
Nilikuambiaje? Umeamini sasa? Nilipitiwa na usingizi na suit yangu nyeupe na tai nyekundu nakusubiri tutoke kumbe unafanya haya? Kwanini unapenda kuiumiza nafsi yangu?
Yaani tulivyokusaka mapaka naona mrembo kanuna sasa. Nishukuru mimi oooh ungeibiwa hadharani, nikawa nakupigia debe. Haya kamalizaneni basi.
acha maneno wewe!
'Valentina' is mine all
Haugopi kufyatuliwa au na wewe unamiliki bunduki?