N-handsome
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,453
- 556
Poa poa0715270707
Tunapatikana mtaa wa kwa khaji tumbo
Poa poa0715270707
Tunapatikana mtaa wa kwa khaji tumbo
Ipi mkuu?Nahitaji Brenda
Sisi wa huku Arusha je?Kama uko nje ya Zanzibar utachangia usafiri kidogo.
Ila kama uko mikoa ya mbali sikushauri kuagiza bidhaa moja ya bei rahisi mana itaku-cost usafiri na mda(labda kama kuna mtu anasafiri kuja uliko),ambapo ukipiga mahesabu unaweza pata uliko kwa bei isiyotofautiana sana na huku.