Pata vyombo vya nyumbani kutoka Zanzibar

Kama uko nje ya Zanzibar utachangia usafiri kidogo.

Ila kama uko mikoa ya mbali sikushauri kuagiza bidhaa moja ya bei rahisi mana itaku-cost usafiri na mda(labda kama kuna mtu anasafiri kuja uliko),ambapo ukipiga mahesabu unaweza pata uliko kwa bei isiyotofautiana sana na huku.
Sisi wa huku Arusha je?
 
So wapa Dsm ina maana pia hatupati mzigo
Au tunaupata vip, na malipo yamekaa vip
Fanya kuelezea
Nataka hio pressure cooker na Airfry
 
Kwa uhakika hasa nimeacha kusafirisha vyombo kwa wateja wa nje ya Zanzibar,sababu kuu kuna changamoto nyingi ila nitataja mbili, ya kwanza ni vyombo kuharibikia njiani na ya pili ni vyombo kupotea tokana na wateja kuchelewa kupokea kutoka bandarini.

Kwa sasa natafuta msafirishaji wa uhakika ambaye ataweza kupambana na hizo changamoto mbili.nikipata nitawajuza
Asante
 
VIPI RADIO NA ELECTRONICS NYINGINE ZA MTUMBA HAPO ZANZIBAR TUPE CONNECTION
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom