Pata viatu vya mtumba grade one.

Mumylicious tapel looh mbon kanyuti vibaya hivyo Mumylicious wenzako wajitutumue wewe upate mteremko loooh hata Mungu hapendi aibu yako
 
Maisha kweli yamebana . Mpaka warembo humu ndani wameanza utapeli!?
 
Mkuu naitaji cha 9 katika picha



Mkuu unamaanisha hiki kwny picha? Kama ndio hicho kimeshauzwa tayari. Ila tembelea page yetu Instagram bigdeal_mtumba_shoes unaweza kuona kingine kinachofaa Na jumanne kesho kutwa tunaweka mzigo mwingine, Asante
 
Nataka cha 3 na 9



Hicho cha 3 kimeuzwa tayari Na cha 9 pia kimeuzwa pia. Tembelea page yetu Instagram ya bigdeal_mtumba_shoes kuna viatu vingine. Tupo bamaga chuo cha Ustawi wa Jamii
 
 
Yani mie nitoe angalizo Na niweke uthibitisho wangu bado una uhukumu.? Ya nini Sasa nilisema hapo mwanzo? Otherwise mtumie hela huyo mtu halafu uone. Mie nimetaja physical address yangu unataka Njoo ofisini utapata bidhaa tofauti Na hapo utaongea kwasababu unataka kuongea Na siwezi kukuzuia[/QUOTE]
 
wewe na huyo alieanzisha uzi lenu moja..Na ndo strategy ulobuni ya kujitangaza..
...akili zingepimwa uzito usingefika hata miligram!
...ila mwenyewe unajiona una akiliiiiii;
..hopeless!
 
Hujui ata jinsi ya kuandika tangazo la biashara
 


Hicho cha 3 kimeuzwa tayari Na cha 9 pia kimeuzwa pia. Tembelea page yetu Instagram ya bigdeal_mtumba_shoes kuna viatu vingine. Tupo bamaga chuo cha Ustawi wa Jamii
SEBAGO ZIPO?? BEI GANI SIZE 42_44
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…