Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,023
- 52,494
Nunua.Vizuri sana
Now napenda sendo za wazi shindiiNunua.
Ukilewa utarudi peku nyumbani.Now napenda sendo za wazi shindii
Nalewaga nyumbani tu shindii😆Ukilewa utarudi peku nyumbani.
Makobazi?Now napenda sendo za wazi shindii
Naweza kukupataje, weia contacts zako nimevipendaNauza viatu vizuri vya kiume
Mikoani tunatuma kwa uaminifu na tra Kodi tunalipia kwa uaminifu mkubwa
Kiatu namba moja hapa
Bei 110,000 tu namba 40 Hadi 46
View attachment 3443122View attachment 3443124View attachment 3443125
Acha fitina mkuuVya ngozi ya mamba vipo?
Mkuu karibu sana pm Kama hutojaliNaweza kukupataje, weia contacts zako nimevipenda