yapi jaribu kupitia maeneo ya karatu na babati utafurahiii!!natamani nije kuyaona. Mi napenda sana kilimo. Nikiwa na mashamba kama haya nafurahi sana
Alafu yawe ya mpunga au mahindi!
huyu jamaa analima nini ati, ni chai au nini icho? ameonyesha mfano sana aisee. i hope rais mwingine atakayekuja hatampora hayo mashamba.