Mie nataka Whitemeat!!! ile inayoshauriwa na madaktari itumike badala ile ya kawaida ambayo ina madhara mwilini, kama itakuwepo fasta nakuja, kuna jamaa wana makusudi mabaya, yaani ukipita ubungo ukitokea mwng pale karibu na junction ya kwenda UDSM kunakuaga na kijiharufu kitamuuuuuu hadi watu kwenye foleni wanaanza kumwaga mate huku wengine wakijifanya kusema astakafu....