Pata nyama ya bure eid..hi si ya kukosa.

jerryz

Member
Nov 15, 2010
58
3
wana jf nataka wote tunufaike na hil,. Kwa wale wanaopajua feza boyz sec n high xul. Tegeta hapa, kutakua na nyama ya kumwaga eid ya kesho, njo ujipatie kwa uwezo wako..buuure kabisa.
 
Tahadhari: Inayotolewa ni sadaka kwa wasio jiweza tu na sio kila Tom, Dick and Jerry.
 
Nyama ya bure unamaanisha nini?
Manake kule kwetu nyama ya bure ni mpaka ngombe afe au agongwe na gari au treni au kujeruhiwa
 
Mie nataka Whitemeat!!! ile inayoshauriwa na madaktari itumike badala ile ya kawaida ambayo ina madhara mwilini, kama itakuwepo fasta nakuja, kuna jamaa wana makusudi mabaya, yaani ukipita ubungo ukitokea mwng pale karibu na junction ya kwenda UDSM kunakuaga na kijiharufu kitamuuuuuu hadi watu kwenye foleni wanaanza kumwaga mate huku wengine wakijifanya kusema astakafu....
 
wana jf nataka wote tunufaike na hil,. Kwa wale wanaopajua feza boyz sec n high xul. Tegeta hapa, kutakua na nyama ya kumwaga eid ya kesho, njo ujipatie kwa uwezo wako..buuure kabisa.

hauna lolote
we mwenyewe unashindia maharage
na kachumbari hiyo nyama uitoe wapi
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom