"HABARINI WANDUGU,
nimekuwa kwenye hii biashara ya nguo za mtumba kwa miaka mitatu sasa, ila changamoto yake kubwa muda wooote huo ilikuwa kupata mizigo mibovu yani nguo mbaya mbayaaaa tu hapa bongo, but sikukuta tamaa nikakomaa kupitia hiyo changamoto sasa nimeitatua kabisaaaaa, napata nguo nzuri hadi mwenyewe nafurahi.
kwa vile mzigo umekuwa mwingi
hivyo ukihiitaji nakuuzia kwa bei ya jumla (whole sale)
mkiwa wengi mnaohitaji mzigo kwa sehemu moja au karibu karibu ndo inakuwa nyepesi kuupokea mzigo.
nguo zitakazokuwepo ni
tops
blauzi
gauni ndefu
gauni fupi
skin tait
skin jeans
gauni fupi
sketi fupi
sketi ndefu
trench coats
simple fashion coats
pedo
vibajaji nk
nguo ni aina zote yani cottoni na silk/shiphoni.
mikoa ambayo itafikiwa kiurahisi ni; dsm, moro, dom na iringa
serious pm
Sijaingia humu ndan kwa mda mrefu, nahitaji kumpm wiseboy na dumelang ila sijafikia vigezo, msaada plz. DUMELANG NA WISEBOY NINASHIDA NA NYIE, MSAADA WENU NI MUHIMU SANA. NIKIPATA NAMBA ZENU NTASHUKURU SANAAA"HABARINI WANDUGU,
nimekuwa kwenye hii biashara ya nguo za mtumba kwa miaka mitatu sasa, ila changamoto yake kubwa muda wooote huo ilikuwa kupata mizigo mibovu yani nguo mbaya mbayaaaa tu hapa bongo, but sikukuta tamaa nikakomaa kupitia hiyo changamoto sasa nimeitatua kabisaaaaa, napata nguo nzuri hadi mwenyewe nafurahi.
kwa vile mzigo umekuwa mwingi
hivyo ukihiitaji nakuuzia kwa bei ya jumla (whole sale)
mkiwa wengi mnaohitaji mzigo kwa sehemu moja au karibu karibu ndo inakuwa nyepesi kuupokea mzigo.
nguo zitakazokuwepo ni
tops
blauzi
gauni ndefu
gauni fupi
skin tait
skin jeans
gauni fupi
sketi fupi
sketi ndefu
trench coats
simple fashion coats
pedo
vibajaji nk
nguo ni aina zote yani cottoni na silk/shiphoni.
mikoa ambayo itafikiwa kiurahisi ni; dsm, moro, dom na iringa
serious pm
toeni namba zenu uunganishwe group la biashara ya mtumba
Sory msg zimejirudia

alafu mnapo tubadikia mabango yenu hapa mnatakiwa muwe serious sio mna tuambia mambo yanaishia hewan hewan tu mnatuomba no zetu ili mtuonganishe kweny magroup yenu afu tunatoa number zetu hamtuunganishi acheni mambo ya kitoto ..mmeniboa sana..
0782109607 nahitaji mzigo genuinetoeni namba zenu uunganishwe group la biashara ya mtumba
Imekuwaje Mwinjuma1?alafu mnapo tubadikia mabango yenu hapa mnatakiwa muwe serious sio mna tuambia mambo yanaishia hewan hewan tu mnatuomba no zetu ili mtuonganishe kweny magroup yenu afu tunatoa number zetu hamtuunganishi acheni mambo ya kitoto ..mmeniboa sana..
"HABARINI WANDUGU,
Nimekuwa kwenye hii biashara ya nguo za mtumba kwa miaka mitatu sasa, ila changamoto yake kubwa muda wooote huo ilikuwa kupata mizigo mibovu yani nguo mbaya mbayaaaa tu hapa bongo, but sikukuta tamaa nikakomaa kupitia hiyo changamoto sasa nimeitatua kabisaaaaa, napata nguo nzuri hadi mwenyewe nafurahi.
Kwa vile mzigo umekuwa mwingi.
Hivyo ukihiitaji nakuuzia kwa bei ya jumla (whole sale).
Mkiwa wengi mnaohitaji mzigo kwa sehemu moja au karibu karibu ndo inakuwa nyepesi kuupokea mzigo.
Nguo zitakazokuwepo ni:-
Tops
Blauzi
Gauni ndefu
Gauni fupi
Skin tait
Skin jeans
Gauni fupi
Sketi fupi
Sketi ndefu
Trench coats
Simple fashion coats
Pedo
Vibajaji nk.
Nguo ni aina zote yani cottoni na silk/shiphoni.
Mikoa ambayo itafikiwa kiurahisi ni; Dsm, Moro, Dom na Iringa
serious pm.