Pata nguo za Mitumba, Grade A

Pata nguo za Mitumba, Grade A

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
2,930
Reaction score
3,313
"HABARINI WANDUGU,

Nimekuwa kwenye hii biashara ya nguo za mtumba kwa miaka mitatu sasa, ila changamoto yake kubwa muda wooote huo ilikuwa kupata mizigo mibovu yani nguo mbaya mbayaaaa tu hapa bongo, but sikukuta tamaa nikakomaa kupitia hiyo changamoto sasa nimeitatua kabisaaaaa, napata nguo nzuri hadi mwenyewe nafurahi.

Kwa vile mzigo umekuwa mwingi.

Hivyo ukihiitaji nakuuzia kwa bei ya jumla (whole sale).

Mkiwa wengi mnaohitaji mzigo kwa sehemu moja au karibu karibu ndo inakuwa nyepesi kuupokea mzigo.

Nguo zitakazokuwepo ni:-
Tops
Blauzi
Gauni ndefu
Gauni fupi
Skin tait
Skin jeans
Gauni fupi
Sketi fupi
Sketi ndefu
Trench coats
Simple fashion coats
Pedo
Vibajaji nk.

Nguo ni aina zote yani cottoni na silk/shiphoni.

Mikoa ambayo itafikiwa kiurahisi ni; Dsm, Moro, Dom na Iringa
serious pm.
 
Last edited by a moderator:
Malalamiko mengi kuhusu biashara ya mitumba TZ ni uchakachuaji.

Hata kama ni grade one mnakata bale ya mtumba mnachakachua mizigo. Wauzaji wa rejareja wanakpsa wa kuwauzia.

Tofauti na sehemu kama Kenya. Grade A ni A hasa na haichakachuliwi. Mzigo wa kilo 45 unauza mpaka raha.

Afu tunalalamika biashara Bongo ngumu.
 
Karucee ina maana bongo hamna mahali ambapo hawachakachui? Maana kuna wakati nafungua grade A nakumbana na nguo za ajabu nyingine zimechanika yaani tabu tupu
 
Last edited by a moderator:
Karucee ina maana bongo hamna mahali ambapo hawachakachui? Maana kuna wakati nafungua grade A nakumbana na nguo za ajabu nyingine zimechanika yaani tabu tupu

Ndo hivyo ndugu yangu.

Jaribu kufanya one on one na wauza mitumba afu wataluambia wenyewe.

Wanasifia sana ya Kenya.
 
Last edited by a moderator:
Eti mtumba grade A !!!!!!!!!!! kwani kuna grade ngapi??????? hivi hiyo grade ya mwisho siiitakuwa balaa
 
Natamani tuanzushe group la wafanyabiashara wa mitumba la wasap lengo likiwa kupeana fursa mbalimbali mf masoko,kujuzana changamoto na namna ya kuzikabili km ambavyo wenzetu wa biashara zingine za aina moja walivyoweza kuungana na hatimaye ht kuweza kuvuka boda kwa kufata mizigo mbali kwa umoja wato na hivyo kuleta tija kweny biashara zao.
KM WAZO HILI LITAPITA PLZ MTU YYT MIONGONI MWETU AJITOLEE KUUNDA GROUP KISHA ATUJOINISHE.
NATAMANI KUONA TUNAPIGA HATUA MOJA MBELE
 
******************
Heloo sory for delay wakuu, jf ilikuwa ya enzi hizoo yani ukitoa hoja humu watu wanaisoma na kuielewa...ila kwa sasa ni full jokes, kebehi, u much knw mwingii hata sijui nn shida.....mtu nimesema hii biashara nimeifanya kwa miaka 3 changamoto kubwa ilikuwa fake product...nikastrugle way out, nimepata solution na mzigo wa kutosha....nikajua watu wengi bado wanapata shida ya mzigo fake basi niwauzie kwa bei ya jumla yani pieces za nguo na sio bero, kwa hiyo unalipia nguo ukiwa unaiona na umelidhika nayo.....bado mtu anaponda sijui nn......kwa huyu aliekuja na idea ya group la biashara ya mitumba nahisi ni bonge la idea....naomba wanaotaka wainbix number zao tulianzishe kiroho safiiiii.....bt nguo zipo na biashara iendeleeee karibuni
 
Mkuu nimekuinbox no yngu plz nicheck ht km hilo group litakuwa bado but nicheck nahitaji nguo
 
mr.plz ninahitaji hiyo mizigo ya mitumba..maana mm pia nachukua kwa jumla ila kwa kuchambua...so ni vyema ungeweka contacts apo ili iwe rahic kukupata...
 
"HABARINI WANDUGU,
nimekuwa kwenye hii biashara ya nguo za mtumba kwa miaka mitatu sasa, ila changamoto yake kubwa muda wooote huo ilikuwa kupata mizigo mibovu yani nguo mbaya mbayaaaa tu hapa bongo, but sikukuta tamaa nikakomaa kupitia hiyo changamoto sasa nimeitatua kabisaaaaa, napata nguo nzuri hadi mwenyewe nafurahi.
kwa vile mzigo umekuwa mwingi
hivyo ukihiitaji nakuuzia kwa bei ya jumla (whole sale)
mkiwa wengi mnaohitaji mzigo kwa sehemu moja au karibu karibu ndo inakuwa nyepesi kuupokea mzigo.
nguo zitakazokuwepo ni
tops
blauzi
gauni ndefu
gauni fupi
skin tait
skin jeans
gauni fupi
sketi fupi
sketi ndefu
trench coats
simple fashion coats
pedo
vibajaji nk
nguo ni aina zote yani cottoni na silk/shiphoni.
mikoa ambayo itafikiwa kiurahisi ni; dsm, moro, dom na iringa
serious pm

Jibu pm
 
Mkuu mbona hunijibu PM
 
Naomba uni pm, mi siwez kuku pm sina hizo post tano. Ninaitaji sanaaa nguo hizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom