Pata mkopo wa 75% wa kusoma Canada

Pata mkopo wa 75% wa kusoma Canada

IMG-20250509-WA0005.jpg
 
Kamata fursa, ukifika huko tafuta bibi wa kizungu, hapo maisha umeyapatia....
 
Intakes ni
January , September na May
Programs ambazo tuna offer 75% loan ni
Programs za Science , technology, engineering, Maths , na Health & Allied Sciences.
Undergraduate & Postgraduate
IMG-20250526-WA0011.jpg
 
Hii ni fursa nzuri kwa wale wenye ndoto za kwenda majuu. Canada ni nchi nzuri sana........

M nlikuwa najua International Education Loan Kwa Wale wanaotaka kufanya masters USA na Canada kama hawa jamaa wameweza kufanya kuanzia certificte basi hiyo itakuwa poa.

Hii program ingetangazwa Nigeria wanaija wangekufa nayo.
 
Tatizo utapeli ni mwingi sana bongo yetu hii
 
Back
Top Bottom