mapasheni ya huko mazuri sana kuliko tunayo kula huku pwani yale ya njanoSalamu sana wana jamii wote.
Marafiki wa Moshi, Arusha na mikoa ya Jirani kwa anayetaka matunda ya mapenshen, yanatumika sana kwa kutengeneza juice, awasiliane na 0712042967 au 0715885672 mzigo utakufikia hapo ulipo.
Karibuni.
google ..Muda mrefu nilidhani @mamdenyi ni mtu anaejitambua, kumbe upo level hizi?! Mapanshen!