Pata kazi zote za Tanzania

Pata kazi zote za Tanzania

Software Engineer

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2014
Posts
344
Reaction score
137
Kwa wale wanaotafuta kazi mbalimali hapa nchini Tanzania, wanaweza kutumia hii android app inaitwa GRAB JOB

Jinsi ya kuipata
:-

Ingia play store kasha weka keyword GRABJOB, bonyeza search halafu install.

Tunakaribisha maoni, kero au ushauri kutoka kwa watumiaji wote.

MUHIMU:-
· App hii ni bure na wala hatutozi fedha yeyote
· Epuka matapeli wa kazi

Grab! Job App
 
Application ni nzuri mbona kuna sehemu matangazo Mpaka u download ndo usome. Kwanini isiwe direct?
 
Mkuu, mi kwangu niki download file kwa ajili ya further information, nikisha download, nikitaka kusoma naambiwa file format doez not support...tatizo n nn hapo mkuu
 
Mkuu, mi kwangu niki download file kwa ajili ya further information, nikisha download, nikitaka kusoma naambiwa file format doez not support...tatizo n nn hapo mkuu

Pole sana

Huenda huna software za kusomea au kufungulia mafaili muhimu kama vile ADOBE READER na MS WORD

Cheki hizo link then install kwa simu yako
 
Pole sana

Huenda huna software za kusomea au kufungulia mafaili muhimu kama vile ADOBE READER na MS WORD

Cheki hizo link then install kwa simu yako

Iko hivi, na download, then nikitaka kulifungua sasa hilo file, naambiwa file source does not exist, na nakumbuka nilisha wahi ku comment uzi fulan juu ya hili. Hizi program zote hapo juu ninazo mkuu
 
Iko hivi, na download, then nikitaka kulifungua sasa hilo file, naambiwa file source does not exist, na nakumbuka nilisha wahi ku comment uzi fulan juu ya hili. Hizi program zote hapo juu ninazo mkuu

Unapo download file kupitia hii app, linahifadhiwa kwenye storage device ya android device yako

Unapofungua hilo file, OS(operating system) kupitia FileSystem ya android device yako ndiyo inakuwa incharge katika kufungua file hilo, App hii haihusiki at that point.

Sasa basi inawezekana kuna access control issue au swala lingine tuu ambalo siwezi hisi kwa muda huu.

Lakini naendelea kufuatilia jinsi ya kutatua tatizo hili, kwani kuna uwezekano kabisa app hii ndiyo ina bug sehemu fulani.

Asante
 
mimi nilisha download hiyo app hongereni kwa hatua mliyofikia ila nawashauri updates za kazi zisichelewe kama ilivyo sasa kazi inaweza tangazwa saa 5:00am nyinyi mnaweka saa 11:00pm au siku inayofuata
 
Shukrani

Tutafanya maboresho katika hilo
 
Back
Top Bottom