mkuu,ntakuwa nauhakika gani kusema hii kazi iliyowekwa kwenye applicatin ni halali na haijakuwa imepitwa na mda wakuapply? na je itakuwa inajizuiya vipi na matangazo feki?
meipenda sn hyo app ila muwe mnaupdate bas kwa mda jaman kuna kazi zinachelewa sn kuwekwa kwenu.nami naipenda coz n rahis kuitumia sanaaa na details zinajitosheleza.ila tu muwe mnaupdate kwa wakati.ila pongez sana mewapenda sana maana hatuhangaiki tena na google.
kila siku active job 120.. haziongezek wala kupungua.
Mko vizur mno..