Pata godoro,feni gas bei chee

Mkuu mtungi wa mihani na gesi na ile burner na grill ya kubandikia sufuria mpya ni bei gani?hawezi kuuza elfu 55 afu ukajaze gesi elfu 20 ni ulaghai!awauzie watu ambao wamekuja jana kutoka dodoma,singida,mwanza,chato,tabora yaani kanda hizo za huko mpaka kahama!
Successful people build each other.They motivate, inspire and push each other. Unsuccessful people just hate, blame and complain...
 
Successful people build each other.They motivate, inspire and push each other. Unsuccessful people just hate, blame and complain...
Basi uza mkuu,hatupendagi ukweli tumezowea uwongo unaotufurahisha,mtungi mpya wa mihani na kila kitu ni 65,au hutaki?sasa wewe unauza mtungi ambao haujajaa gesi 55 akijaza mtu 20 si ni 75?huo ni wizi au hadaa au kudhulumu atakayenunua.godoro toa shuka ulipige picha tulithaminishe,hyo feni mpya ni bei gani dukani?wewe umenunua vitu vipya kwa bei kama hyo unayouza na umevitumia!
 
Ila kasema ukweli mtungi kwa elfu55 hapana!
Godoro limeshaisha
Feni afadhali inauzika
 
Mtungi na gesi yake mihan 65,sasa ukiuza 55 mtu akijaza gesi elfu 20 ni elfu 75,wauzie watu wa mikoani waliokuja leo kesho wanaondoka,mtungi huo elfu 30 sawa,maana mkubwa unaupata mtupu elfu 45 ule wa kilo 15!Godoro chafu sana hilo elfu 15,feni elfu 20!
Duh,mhurumie mwenzio
 
Mkuu mtungi wa mihani na gesi na ile burner na grill ya kubandikia sufuria mpya ni bei gani?hawezi kuuza elfu 55 afu ukajaze gesi elfu 20 ni ulaghai!awauzie watu ambao wamekuja jana kutoka dodoma,singida,mwanza,chato,tabora yaani kanda hizo za huko mpaka kahama!
Duuh, kwamba wanaotoka huko wote IQ zao ndogo sana unawazidi.

Jaribu kushirikisha kichwa kabla vidole havijaanza kuandika.
 
Vipi mkuu umeshaenda shamba? Maana cjui kama bidhaa zetu zile zilipata mteja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom