Agiza Viatu China Ukiwa Na Mtaji Chini Ya Millioni Moja

Michael Richard

Senior Member
Mar 29, 2023
166
491
Habari Wakuu....

Poleni na majukumu...

Hihisi kila moja wetu anafahamu kwasasa ulimwengu wote upo online.
Basi Siku moja katika pitatita zangu za kufanya research ya bidhaa tofauti tofauti katika maduka ya online namaanisha Alibaba, Made in china na 16688 n.k

Sasa wakati swipe up baadhi ya bidhaa nikapishana naraba kali sana nikaipenda na nikatamani ninunue kwamatumizi yangu binafsi coz mm napenda kupoa.

Nikachukua ila Post ya yule supplies nikamtafuta tukachat tukakubalia Kila kitu akaniambia Bei alikuwa anauza 6000/=

Basi akawa amenitengenezea link ya malipo bado tu mm kufanya malipo coz niliagiza kama pair 2 tu picha ya hiyo raba ipo chini kabisa waweza iyona. Bac sijui kiherehere gani kikanipata nikaenda whatpp nikaposti ile raba status nikaandika "unyama mpya mjini" bc nikapotezea baada ya nusu saa hivi nikasikia sm inaita nikapokea nikaulizwa ile raba ulipost status shingapi nimeielewa mkuu kali sana. Bc hapo ndipo likaja wazo kwanin nisiagize mzigo wakibiashara nije kuuza.

Basi nikamichek supply wangu ili kumodified order yangu bx akanielewa nakunitengenezea order mpya coz nilinunua pc100 yeye mwenyew piah alifurahi kusikia nimeongeza mzigo

Basi nikaanda bajeti yangu.
mtaji ulikuwa laki Saba
Niliorder raba pair 100. It mean 6000×100=laki sita

Usafiri ilikuwa 64500/= nilisafirisha kwa njia ya maji kwa sababu yakupunguza gharama so total 600000+64500= laki sita na elf sitini na nnenamiatano basi ndani ya siku 28 mzigo ukawa umenifikia na mm haraka nikaenda kuchukua nikaingiza sokoni

Niliuza raba moja Tsh 20000/= bei ya rejareja Bei ya jumla niliuza 16000/= bc mzigo hauku kaa sana ndani ya wiki tatu mzigo ukawa umaisha hivi ndivyo nilivyo pata faida

Raba PC 40 niliuza bei ya jumla so 16000×55= na laki nane naelfu themanini
Raba PC 45 zilizo Baki nikauza rejareja so 20000×45 = laki tisa so jumla nilipata=1,780,000 milion laki saba na elfu themanini. So ukitoa mtaji laki saba mtaji unabaki nafaida Millioni moja na elfu themanini.
Nikaona sio mbaya nikaealetea huu mchongo na nyie muishi

So kwamahitaji kama unataka kijifunza jinsi yakuagiza bidhaa online nicheki whatpp 0788906890

812935689-2065460115.jpg
 
We jamaa na vi uzi vyako vya kutamanisha watu nakwambia utawadaka wajinga.
 
Ukionyesha iyo waybill adi mzigo unakufikia kwa hyo gharama….niite mkuu
 
View attachment 2661170
Siku hizi hakuna ushuru?
 
Niwaambia kila siku wew haulipi ushuru wanaelipa ushuru nihiyo kampuni uliosafirishia example silent ocean
Silent ocean wanalipa ushuru ndio.

Ila siku ya kwenda kuchukua mzigo wako wanakuwa wamesha kutumia sms ya malipo unayotakiwa kulipa ili kuchukua mzigo wako. Ambao inakuwa ni usafiri na ushuru.

Wazee wa consolidation wanajua Zaidi.. Acha kanjanja... Sema ulitumia consolidator yupi na invoice ya malipo weka hapa
 
Aweke Waybill zote kama kweli ni Mwanaume unless otherwise aache utapeli🪓🪓🪓
 
Habari Wakuu....

Poleni na majukumu...

Hihisi kila moja wetu anafahamu kwasasa ulimwengu wote upo online.
Basi Siku moja katika pitatita zangu za kufanya research ya bidhaa tofauti tofauti katika maduka ya online namaanisha Alibaba, Made in china na 16688 n.k

Sasa wakati swipe up baadhi ya bidhaa nikapishana naraba kali sana nikaipenda na nikatamani ninunue kwamatumizi yangu binafsi coz mm napenda kupoa.

Nikachukua ila Post ya yule supplies nikamtafuta tukachat tukakubalia Kila kitu akaniambia Bei alikuwa anauza 6000/=

Basi akawa amenitengenezea link ya malipo bado tu mm kufanya malipo coz niliagiza kama pair 2 tu picha ya hiyo raba ipo chini kabisa waweza iyona. Bac sijui kiherehere gani kikanipata nikaenda whatpp nikaposti ile raba status nikaandika "unyama mpya mjini" bc nikapotezea baada ya nusu saa hivi nikasikia sm inaita nikapokea nikaulizwa ile raba ulipost status shingapi nimeielewa mkuu kali sana. Bc hapo ndipo likaja wazo kwanin nisiagize mzigo wakibiashara nije kuuza.

Basi nikamichek supply wangu ili kumodified order yangu bx akanielewa nakunitengenezea order mpya coz nilinunua pc100 yeye mwenyew piah alifurahi kusikia nimeongeza mzigo

Basi nikaanda bajeti yangu.
mtaji ulikuwa laki Saba
Niliorder raba pair 100. It mean 6000×100=laki sita

Usafiri ilikuwa 64500/= nilisafirisha kwa njia ya maji kwa sababu yakupunguza gharama so total 600000+64500= laki sita na elf sitini na nnenamiatano basi ndani ya siku 28 mzigo ukawa umenifikia na mm haraka nikaenda kuchukua nikaingiza sokoni

Niliuza raba moja Tsh 20000/= bei ya rejareja Bei ya jumla niliuza 16000/= bc mzigo hauku kaa sana ndani ya wiki tatu mzigo ukawa umaisha hivi ndivyo nilivyo pata faida

Raba PC 40 niliuza bei ya jumla so 16000×55= na laki nane naelfu themanini
Raba PC 45 zilizo Baki nikauza rejareja so 20000×45 = laki tisa so jumla nilipata=1,780,000 milion laki saba na elfu themanini. So ukitoa mtaji laki saba mtaji unabaki nafaida Millioni moja na elfu themanini.
Nikaona sio mbaya nikaealetea huu mchongo na nyie muishi

So kwamahitaji kama unataka kijifunza jinsi yakuagiza bidhaa online nicheki whatpp 0788906890

View attachment 2661170
Bro biashara so easy Ivo. Je hukupanda boda, je hukutoa ajira makuli, je hukupanda daladala, je Kodi ya goli? Je lesen ya biashara? Je bandari hukulipia? Duuuuuh ingekua rahis ivo
 
Back
Top Bottom