INAUZWA Fridge na godoro vinauzwa bei chee

Maulid jnr

Member
Mar 25, 2021
66
60
Habari wakuu nauza fridge kubwa ya hisense imefanya kazi miezi miwili tu bado iko kwenye hali nzuri mnoo. Bei ya fridge ni 850,000.

Pia nauza godoro 80,000 na kigari cha kubebea watoto wadogo 200,000 .

Vyote vipo salasala ukihitaji nicheki kwa namba hii 0783150130 thnx
5e28f546-437e-44ef-8142-010bb6bc5a8b.jpg

711263a3-dc68-41e7-8d73-2cad3551eaeb.jpg

de0eee91-449b-4418-bc8c-4690bfa83296.jpg

20863ab2-50c9-4c3c-a672-4e16d3382d72.jpg

a4882d42-452d-4a3f-86cd-b4f4e1a834a6.jpg
 
Back
Top Bottom