Achana nayoNitajuaje km inafanya kazi? Na isipofanya kazi hela yangu nitarudishiwa?
Hakuna kitu kibaya kama kutumia hisia zako kupingana na ukweli,watu tupo kwwnye biashara zetu na kutafuta ridhiki wewe unakuja na hisia zako na kukimbiza watu,Ulaaniwe.Kuweni makini na namba zenu inawezekana kabisa kuna member wanafuatiliwa kuwajua lazime watoe viofa kama hivi we unakurupuka unampa namba zako kumbe ulishawahi kuropoka humu kwenye forum
Kuweni makini na namba zenu inawezekana kabisa kuna member wanafuatiliwa kuwajua lazime watoe viofa kama hivi we unakurupuka unampa namba zako kumbe ulishawahi kuropoka humu kwenye forum
Sema whatever you like.Pointi asilimia 100.
Tambua ukiona member amejiunga JF kwa ajili ya suala hilo hilo tu kimbia na ogopa kama ukoma.account haijawahi changaia lolote balo kapost hili tangazo mara 6 katika forums za Jf tofauti..ni TAPELI au anasaka namba za watu.
Huyu ni member humu JF wa siku nyingi kwa nini hatumii ID yake ya zamani bali hii aiyojiunga jana kwa ajili ya mission tu..
Chukua tahadhari
Njoo PmWeka namba Zako ili sisi tukutafute
Dah, naimani mods wapo na wameiona hii comemt yakoWasnge kama wewe ndo watakutumia hiyo pesa
Umewapatia kweli kweliKuweni makini na namba zenu inawezekana kabisa kuna member wanafuatiliwa kuwajua lazime watoe viofa kama hivi we unakurupuka unampa namba zako kumbe ulishawahi kuropoka humu kwenye forum