Pablo
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 2,441
- 2,547
Kheri Ya Mwaka 18' !!! Mwanzo Wa Mwezi Ndio huu, Nina Airtime Yakutosha Voda Naunganisha 4GB Wiki Nzima Kwa Bei Chee 3000/= Tu. Sasa Wewe Ukiona buku Tatu ni Kubwa na Unahisi Utaibiwa Basi endelea Kutumia Buku Kwa Internet Kila Siku. Njoo Pm Kama Unahitaji. Sipo Kwenye System na Wala Sina Shida na Namba Yako (Business Only) .Changamka Kama Utahitaji
Update
==========
Walionipa namba tiali nimewaunga isipokuwa wachache ILa hadi saa 5 ntakuwa nimeshawaunga wote.
Hakikisha una select sim card ya Voda iwe inatumia internet kisha washa data endelea kufurahia.
Malipo yangu utanipa once ukiona umeweza kutumia Internet (tafadhali kuwa muaminifu).
Pia naomba waliowezeshewa waje washuhudie ili tupunguze u- Tomaso.
Yoyote atakae hitaji anakaribishwa ..salio lipo lakutosha. Asanteni
Kuna maswali mengi Watu Wanauliza Ninapata Wapi Access Ya Kununua Bando
In short ni Kwamba Nilikosea Kununua Muda Wa Maongezi.
Now Imebaki 70 elfu. Kwa anaehitaji Aje tu Nimuunge.
Please njoo na namba tuu Usilete Mbwembwe Nyingine.
Wakuu Nashukuru Kwa Waaminifu Wachache Kulipia Ninapo kuunga Bando. Imebakia Kidogo Njoo Tumalizie ILa Pay First Maana Wengine Nime Waunga Hawajanilipa Mpaka Dakika Hii Na Ukiwapigia Hawapatikani. Ni bora MTU Usiombe Huduma ILi Uwaachie Wengine.
Appreciation:
.Shombe La Kisomali
.Miss Natafuta
.Somji na Wengine Wengiiiiiiiiii.....
Hawa Ndio Ninao Wakumbuka.