msani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 1,801
- 1,191
Mchungaji kiongozi wa Huduma ya HOSSANA LIFE MISSION ameibua tuhuma nzito kwa wanasiasa kuwanunua maaskofu kuhusu mchakato wa katiba. Amesema hayo katika ibada ya Jumapili ya 21 September 2014.
Pia amehoji uhalali wa jaji Warioba alipoitoa serikali tatu na kuongeza kuwa serikali 3 ni mpango wa wanasiasa.
Tamko hilo lilizua minong'ono toka kwa waumini wa Kanisa hilo la Hossana lililopo Riverside Ubungo Dsm.