Pastor awavulisha nguo waumini

Pastor awavulisha nguo waumini

101 East

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
1,057
Reaction score
2,245
Nimeikuta huko Facebook pastor amewaambia waumini wake wave nguo ili roho mtakatifu aingie kwa urahisi kwenye miili yao

Link hi hapo chini


Cjajua Ni nchi gani
FB_IMG_1547315767293.jpeg
FB_IMG_1547315763047.jpeg
FB_IMG_1547315759100.jpeg
FB_IMG_1547315753461.jpeg
FB_IMG_1547315745268.jpeg
FB_IMG_1547315740285.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lord have mercy..

kuna rafiki mmoja kutoka Australia aliwahi kuniambia kwa tasfri isiyo rasmi..waafrika as long as wanaamini katika uchawi na giza akitokea mtu na akawaaminisha uwepo wa nuru basi watafanya lolote kupata nuru hiyo..akamaliza kwa kusema having a bilble in Africa is like holding half billion cheque in your account..

Poleni sana Vitunguu swaumu.
 
Back
Top Bottom