Binafsi Mwanajamiione namuona hana tatizo,anachotaka yeye ni watu waliopo kwenye mahusiano kuwa wazi,Past itakuumiza vp kama umeamua kuwa huru na huyu wa sasa?Mweleze past ilikuwa hivi mfano tulikuwa tukienda beach tangu tulipojuana mwaka......,nimelala naye mara nyingi ila sikumbuki idadi ila ana udhaifu sehemu hii....... na anaujuzi sehemu hi.......... kuwa muwazi kwa kila utakaloulizwa ikiwezekana mpeleke hata mahali mlipokuwa mkitembea,labda beach,hotel,safari nk.
tatizo sio past
tatizo ni relationship ambayo wewe ulifikiri ni past ya mwenzio
kumbe duh....bado inaendelea.......
baadhi ya watu hawavunji past zao....wanaziachia zififie tu,halafu after a while
zinarudi kwa nguvu........which can be very painfull..
some women hawana power ya kusema its over kwa wapenzi wa zamani....
akikutwa hata sokoni,anaburuzwa kwenda kukumbushia......
wewe uko home unajiuliza,kachelewa wapi??????......
...lol, Mwj1 wantakia nini mwana wa mwenzio, unataka nije na CRB? hiyo hapo...ha ha ha....
well, well, well,...ama katika jambo lililo gumu ni kutaka Ex- wako asiwe tena karibu na ndugu/rafiki zako. Ki ukweli, na hata dini zinatuongoza tuachane kwa heri... hii itatusaidia sana hata kwenye mashirikiano na Ex's pale patapotokea dharura, mfano kuuguliwa, kifo, harusi, nk ambapo kwa namna moja ama nyingine ex atahitajika awepo.
So long as an Ex atabakia an ex, hakuna kokoro kabisa... vurugu ni pale an Ex anapokuwa na sauti kwenye current mahusiano, ...huo unakuwa sio uhusiano tena..bali ni utatu!
Kumbe sredi yako ndio ilikuwa na mueleko huu? aaahh, samahani kwa kuchemka na ma inner circle yangu.
Sijui wachangiaji wengine wanamtazamo gani...
Ya zamani hayahusiani na ya leo,hata kama ni ya namna gani,ianze leo mpya,kama alikua jambazi hiyo si jana?Jana isikuamulie leo!Ishi leo,kwakua ni leo!Aksante sana Elyer nakubaliana nawe 110% .....unaposema hutaki kuifahamu hiyo past........ina maanisha hutaki kuyajua ya zamani kwa kishwahili..........lakini hiyo zamani inaanzia wapi? Samahani ninapenda kutoa mfano kwa jambazi na changudoa. Kama mpenzi ulonaye sasa hivi zamani alikuwa jambazi...............ili uitupie kwenye kundi la past......inatakiwa iwe kuanzia muda gani? Kama alikuwa jambazi maiaka miwili ilopita, miezi sita au? au kuchunguza hilo nalo ni kudeal na past?? mwe
...Sasa ili Ex- awe kweli Ex na ujiridhishe kuwa probably it is the 'true past' inabidi iwe ni Ex wa muda gani? mwaka, au hata kama aliachana naye last three months/two ili uamini kuwa ni past?
mie kwa kweli cpendagu past, ndio mwanzo wa kudanganyana, ni wachache sana wanakuwaga wa ukweli, japo niliulizwa past yangu but mie ckupenda kujua ya kwake, tulipoanzia hapo hapo kikikwama mbeleni bac hakikupangwa!
Mwj1, an Ex is an Ex bana, haijalishi muda ingawa Ex wa zaidi ya 6months mimi namhesabia ndiye ex hasa,
maana kama ni grievances pia zishaisha makali...3 months bado kuna kaji room ka consideration ya Baby Come Back
huo ni kwa mtazamo wangu...
Wewe Mwj1 nini mtazamo wako kwa hili?
Ya zamani hayahusiani na ya leo,hata kama ni ya namna gani,ianze leo mpya,kama alikua jambazi hiyo si jana?Jana isikuamulie leo!Ishi leo,kwakua ni leo!
Sasa Mbu hapa ulipoelezea hapa....ndio maudhui mazima ya thread hii....HOW PAST IS THE PAST.
Kwako wewe shorter time ina walakini kwani anything can happen na kama wameachana recently ukuna uwezekano mkubwa kuwa umekubaliwa wewe ili kuziba pengo bichi.....tamaa bado yawaka kwa penzi la yule so uwezekano wa Ex kubeep na kupigiwa ni mkubwa sana....ndio maana nikauliza how past is the past.
Mtazamo wangu mie: Inategemea na issue yenyewe....kama Ex niliachana naye kwa kuwa kulikuwa na ireconciliable reasons then I do not mind kama mmeachana jana au mwaka jana! But kama sababu ni hizi za kawaida tuzijuazo eti mapenzi yamepungua, amecheat au alikwenda kwa mwingine then kweli nitahitaji kuweka kigezo cha muda mrefu ili hii iwe past kwangu. The same kwa tabiia kama alikuwa dadapoa/shoga LOL au alikuwa na affair/crushes na wake/waume za watu.....for me to jiaminisha kuwa s/he has really gotten over that behaviour muda unamata bana!
lol....nawewe hebu punguza hizi cross exams bana...mwe!
Irreconcilable differences,...what a wonderful word!
Katika suala la mahusiano kutafuta na kuchimbua ya zamani ni wivu,na wivu ni udhaifu wa kijinga sana!Kama unataka uhusiano wako uwe mzuri epukana na matatizo haya!Ok Elye una uhakika hakuna ya zamani yenye uwezo wa kuwa ya leo? sawa ya zamani ni zamani but zamani zatofautiana, zamani ya mwaka juzi si sawa na zamani ya wiki ilopita au?
Ningeshukuru sana kijana kama ningejuwa umri wako, hivi wewe huna hata ya kujuwa kwamba mwanamke unaeanza mahusiano ameshazaa na wanaume watatu tofauti? au huna sababu ya kujuwa labda aliolewa na kuachwa & why she was divorce? my god watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Katika suala la mahusiano kutafuta na kuchimbua ya zamani ni wivu,na wivu ni udhaifu wa kijinga sana!Kama unataka uhusiano wako uwe mzuri epukana na matatizo haya!
mie kwa kweli cpendagu past, ndio mwanzo wa kudanganyana, ni wachache sana wanakuwaga wa ukweli, japo niliulizwa past yangu but mie ckupenda kujua ya kwake, tulipoanzia hapo hapo kikikwama mbeleni bac hakikupangwa!
Nina umri wa miaka 3....Sihitaji kujua ya jana kwani huyu kwangu ni mpya sio wa jana kama jana alikuwa mchafu leo ni msafi,tatizo la kutaka kujua ya zamani ni kutokumwamini!Alipoamua kuwa na wewe alimaanisha ameacha ya zamani sasa humwamini ndo maana unachimbua yasiyo kuhusu,kama humwamini ni bora ukamwacha,ni ujinga kuwa na mtu usiemwamini!Ningeshukuru sana kijana kama ningejuwa umri wako, hivi wewe huna hata ya kujuwa kwamba mwanamke unaeanza mahusiano ameshazaa na wanaume watatu tofauti? au huna sababu ya kujuwa labda aliolewa na kuachwa & why she was divorce? my god watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Yaani wewe unachojari ili mradi unakatiwa huno vizuri basiii!!! kama pimbi hutaki hata kujuwa zamani wapi!!!???
Dah huu mstari wa mwisho huu.......hata kama umekujagundua kuwa it was an edited version wakati mshafunga pingu za maisha??
Nway watu tumetofautiana na nafikiri wewe ni wa aina yake. Nakupongeza but najaribu tu kufikiria siku ukikutana na ukweli unaoumiza na kutia aibu au litakalokufanya pengine uwe na mashaka juu ya mahusiano yenu (Mfano swala la kutoa ujauzito.........akwambie alishawahitoa nyingi tu) hutokimbilia kumwambia mkacheck kama atawezazaa tena incase mnaoana? LOL Ni mfano tu jamani sisemi kina dada mkiwa na mashaka na uzazi wenu msiseme!