CHUO CHA UFUNDI JITA
Senior Member
- Feb 8, 2013
- 116
- 23
| Kiswahili: Juma alikuwa anacheza mpira wa mguu |
| English: Juma was playing football |
| I | was | Singing |
| He | was | Cooking |
| She | was | Dancing |
| It | was | Running |
| Anton | was | Digging |
| You | were | Praying |
| We | were | Chatting |
| They | were | Sleeping |
| Queen and Mary | were | learning |
[h=1]PAST CONTINUOUS TENSE[/h] (ULIOPITA HALI YA KUENDELEA)
Hii TENSE inahusisha tendo lililotendeka kwa wakati uliopita lakini bado tukio likiendelea kutendeka.
Kiswahili: Juma alikuwa anacheza mpira wa mguu
English: Juma was playing football
SHERIA katika TENSE hii ni matumizi ya WAS na WERE.
Kwa ufupi, WAS ni past tense ya IS na WERE ni past tense ya ARE. Na kama ilivyo sheria unapotumia IS au ARE, kitenzi lazima kiongezewe ing mwishoni.
VILE VILE katika matumizi ya WAS WERE yatazingatia sheria kuwa lazima kitenzi (verb) iongezewe ing, mwishoni.
WAS; inatumika kwa pronouns au nouns za Umoja na kwa I na
WERE; inatumika kwa pronouns au nouns za Wingi.
WAS
I
was
Singing
He
was
Cooking
She
was
Dancing
It
was
Running
Anton
was
Digging
Mifano zaidi katika sentensi
Ø I was learning English
Ø She was cooking rice
Ø He was playing cards
Ø It was running to the bush
Ø Juma was going to school
WERE
You
were
Praying
We
were
Chatting
They
were
Sleeping
Queen and Mary
were
learning
Mifano katika sentensi
Ø We were listening to the radio
Ø They were learning English
Ø You were chatting with your friend
Ø Hamis and John were playing football when the teacher came.
Karibuni tuboreshe!!
Hii tense ni past parfect ,had ya mwanzo hutumika kuonesha ni kisaidizi cha kitendo kabla ya main verb na verb inayofuata lazima iwe ktk participle form ili sentesi itambulike ni past perfect eg I Had had money already , hapo had ya pili ni main verb yenye maana umiliki ila imewekwa ktk ed au participle kama kanuni ya hii tense inavyotaka na had ya kwanza ni past ya auxirially verb have ambayo kwa yenyewe haileti maana kamili mpaka itapo fuatiwa na verb ktk ed form. ndio maana huwezi andika eg I had have money ,kanuni ya hii tense inataka verb inayofuata lazima iwe kwenye ed form na ed form ya main verb have ni had.Utakapo fikia tense inayo chukua hizi form mbili kwa pamoja uniite. 'Had na had' kwa pamoja
Eg 'the dream that I had had...' (hata sijui kama nimepatia. Kizungu bado kigumu kwangu.)
Hii tense ni past parfect ,had ya mwanzo hutumika kuonesha ni kisaidizi cha kitendo kabla ya main verb na verb inayofuata lazima iwe ktk participle form ili sentesi itambulike ni past perfect eg I Had had money already , hapo had ya pili ni main verb yenye maana umiliki ila imewekwa ktk ed au participle kama kanuni ya hii tense inavyotaka na had ya kwanza ni past ya auxirially verb have ambayo kwa yenyewe haileti maana kamili mpaka itapo fuatiwa na verb ktk ed form. ndio maana huwezi andika eg I had have money ,kanuni ya hii tense inataka verb inayofuata lazima iwe kwenye ed form na ed form ya main verb have ni had.
Kama sijaeleweka uliza na kama umeelewa tunga sentesi kadhaa za aina hiyo

Nafuatilia
Utakapo fikia tense inayo chukua hizi form mbili kwa pamoja uniite. 'Had na had' kwa pamoja
Eg 'the dream that I had had...' (hata sijui kama nimepatia. Kizungu bado kigumu kwangu.)
Wapo kwenye Siasa mkuuHuu uzi unaenda pole pole ingawa ni mzuri sana. Wataalam wa Lugha ya kizungu njooni huku
PAST CONTINUOUS TENSE
(ULIOPITA HALI YA KUENDELEA)
Hii TENSE inahusisha tendo lililotendeka kwa wakati uliopita lakini bado tukio likiendelea kutendeka.
Kiswahili: Juma alikuwa anacheza mpira wa mguu
English: Juma was playing football
SHERIA katika TENSE hii ni matumizi ya WAS na WERE.
Kwa ufupi, WAS ni past tense ya IS na WERE ni past tense ya ARE. Na kama ilivyo sheria unapotumia IS au ARE, kitenzi lazima kiongezewe –ing mwishoni.
VILE VILE katika matumizi ya WAS WERE yatazingatia sheria kuwa lazima kitenzi (verb) iongezewe –ing, mwishoni.
WAS; inatumika kwa pronouns au nouns za Umoja na kwa I na
WERE; inatumika kwa pronouns au nouns za Wingi.
WAS
I
was
Singing
He
was
Cooking
She
was
Dancing
It
was
Running
Anton
was
Digging
Mifano zaidi katika sentensi
Ø I was learning English
Ø She was cooking rice
Ø He was playing cards
Ø It was running to the bush
Ø Juma was going to school
WERE
You
were
Praying
We
were
Chatting
They
were
Sleeping
Queen and Mary
were
learning
Mifano katika sentensi
Ø We were listening to the radio
Ø They were learning English
Ø You were chatting with your friend
Ø Hamis and John were playing football when the teacher came.
Karibuni tuboreshe!!
Bila shaka umemuelewa mkuu, japo tutaifikia soon
usijali mkuuUsisite kuniita

Thanks mkuu"WAS; inatumika kwa pronouns au nouns za Umoja na kwa I na
WERE; inatumika kwa pronouns au nouns za Wingi."
Hapana. "were' inatumika' kwa 2nd person singular (umoja) pia. 'You were sleeping.' (Mtu moja hapa!)