Password ya mume mkora/mkware

Only tigo will keep your husband away from vicheche:A S-confused1: ndunguli is not sufficient enough :behindsofa: are u still there?
nimegundua nyie wanaume wengi mmeshaharibikiwa.i hope black-berry yangu naye hajaonjeshwa huko isije ikawa sababu hanioi!tumekwisha
 
Jamani jamvini,

Nina mume wangu ni kiwembe sana, hata nimpe nini haridhiki. Sasa mie nampenda sana ila naona wivu sana abnapopeleka zana zangu kwingine.
Kuna watu nimesikia kwamba ipo dawa unaweza fanya ili Mzee mzima akienda nje ya ndoa tu, mambo yake ipigwe chini ili asimudu majamboz
Au nasikia unaweza ukawa unasafiri nayo , naye asifikirie mtu mwingine ila wewe tu.
Naomba wataalamu wanirushie ujuzi wa kufanya hiyo password kwa lengo zuri tu!

Asanteni kwa mawazo!

Luk ma friend,
I exprerience the same problems as yours, tabia ni kama ngozi ya mwili kamwe huwezi kuibadili, cha kufanya wewe kaa chini mwombe Mungu kwani nina imani yeye tu ndio anaweza kumbadilisha mumeo, achana na hizo imani zingine kwani hazitakusaidia sasa sana zitakupotezea muda wako na kuzidi kumpoteza mumeo.
 
Back
Top Bottom