Password na agenda ya siri hamna lolote!!!

msimamo wangu juu ya P /W....linapokuja swala la password ,sijui nini..kwanza kwa mie Binafsi sijihusishi na simu wala emails zake na wala hatanisikia hata siku moja eti sweet naomba password yako ya nini?Kwa hiyo basi yangu pia haimuhusu..
Labda tufungue email ya pamoja kama anahitaji sana ushirikiano

unaogopa nn besti????
 
unaogopa nn besti????

Siogopi Bht huu ni uhuru wangu ndio maana niliifungua mie binafsi sikumuomba anifunguliena ikawa na jina langu na nikaweka PW kama mimi ..kwa hiyo basi yeye haimuhusu wala sioni umuhimu wa yeye ..kwani anataka kunisaidia kuwasiliana na ndugu jamaa na marafiki....amekuwa PS :A S 39:
 
If this is the attitude, no wonder why a bunch of marriages are going down the drain!

So I think it's better to remain single and have all the space and privacy you want.
 
Ndani ya ndoa hakustahili kuwepo siri zozote kati ya mke na mume. Kama una siri ndani ya ndoa basi una mahusiano nje ya ndoa ambayo kwa sababu moja au nyingine hupendi mwenzio ayajue. Mila nyingi zimepitwa na wakati na hazistahili kuendelea kudumishwa.

Unaona mwenzio ndani ya ndoa ana mawasiliano ambayo unayatilia wasiwasi halafu unanyamaza kimya kwa vile mila zenu haziruhusu kumchunguza mwenzio eti kwa kudumisha mila. Hivi karibuni kuna dada mwanachama aliandika rafiki zake wanatamani sana wangekuwa na ndoa kama yake kumbe huyo dada anaweza kukaa hata miezi 12 bila mwenzie kumfanya na yeye anaogopa kumuomba mwenzie amfanye kwa sababu mila zao haziruhusu mwanamke kumuomba mwenzie ndani ya ndoa. Mila zilizopitwa na wakati achaneni nazo. Ukimsikia yeyote anayedai ana siri katika ndoa yake basi ana lake jambo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom