kama ni kweli nakubaliana na wazo/hoja ya kubadilisha hizi passport zetu....................zinachezewa mno na wasomali, wanigeria, wakenya na wacongo....ofcourse wakishirikiana na maafisa wa serikali yetu

Safari hii tubadilishe bila malipo wala kujaza fomu upya!
hapo hata wakibadilisha zikawa vp haitasaidia k2!!
Ogah - mbona unajichanganya? kama wanaoghushi wanashirikiana na maofisa wa serikali, je hizo mpya? si watashirikiana tu?
MODs, bila ya concrete proof, ondoa hii thread, au angalau iweke ktk Habari Mchanganyiko.
kama ni kweli nakubaliana na wazo/hoja ya kubadilisha hizi passport zetu....................zinachezewa mno na wasomali, wanigeria, wakenya na wacongo....ofcourse wakishirikiana na maafisa wa serikali yetu
I beg to differ! Kwanza hii ni rumour; pili; una maana gani kusema "zinachezewa..."? Kama sioo undundu wa maafisa pale hizi passport ni ngumu sana kuzifanyia mchezo wowote kama kuforge au kutengeneza dublicate, beleive you me!! Kuanzai utengenezaji, na uhalali wa hizi passport etc is one of the most secure passport issiance system in Africa, if not the world!