CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
... Kitanda hakizai haramu!
Kama una wasiwasi, au unataka kupata uhakika mpeleke kwa mkemia mkuu wa serikali' mkapime DNA!
Dah haya mambo mazito ati! Itisheni kikao cha familia cha imejensi!
Mmeamkaje wana Chit Chat....
Mtajwa hapo juu huwa napishana naye humu jamvini, nikimuangalia sana naona anafanana na familia yetu, kuanzia muondoko, haiba zake na hata rangi rangi yake.....
Sasa hapa nawauliza wazazi wetu daddy watu8 na mummy measkron huyu binti ni ndugu yetu?? mbona hamtuweki wazi??
Nakala kwa my sis sweetlady, WiseLady, cousin ladyfurahia na wanafamilia wote....
Sikukuu njema wadau......
Kwa hiyo unamtuhumu dady wako alichakachua???
Unamuumbua mshua sasa.